Pentekoste iliyochangamka

Pentekoste iliyochangamka

Lwiva hoja yako naielewa lakin ili kuiweka sawa zaidi ipatane na kile kimeelezwa kwenye biblia kuhusu 666 (ufunuo 13:18) lazima utoe maana ya vitu vifuatavyo ukihusianisha na tafsiri yako ya 666.
1. Joka (The dragon) ambaye alimpatia nguvu mnyama(vs 2), ambaye pia aliabudiwa kwa sababu hiyo.
2. Mnyama toka baharini, ambaye 666 inasemwa kuwa ni namba yake.
-eleza pia kwann anasemwa kutoka baharini
-vichwa kumi na pembe zake kwann zimetajwa hapa? (kimsing hizi n sifa zake bainishi)
-kwann biblia inasema alipata Jeraha kwenye moja ya vichwa vyake(13:3)
3. Bila shaka hutaacha kumuelezea pia mnyama toka nchi kavu(uf.13:11) kwa sabab tunaambiwa ana uhusiano mkubwa na mnyama wa kwanza, n kama chawa wake hivi
4. Utaeleza pia alama ya mnyama wa kwanza ni ipi
5. Kisha ndo ueleze vizur sasa 666 kuhusianisha na hivyo vitu, utakuwa umenisaidia sana kufahamu vitu hivyo!

Kumbuka 666 kulingana na kitabu cha ufunuo ni kama code ya kumfaham mnyama, sasa kama hiyo 666 ni "dhambi" au "mwili wako" lazima uelezee na huyo mnyama ambaye namba yake inasimama badala ya 'dhambi' au 'mwili wako' ni nan, na hao wengine waliotajwa (The dragon and the beast from the Land) ni akina nan? Zingatia The beast, The Dragon, from The sea, from The land. Najua unaelewa nnachojaribu kusisitiza hapa.
biblia inaeleza wazi bahari ni watu wengii ambao huyo mnyama anakaa juu yao
 
Huko kwenu wanaobariki wanaume kuoana mbona husemi lolote au hayo ndio mafundisho ya Mungu,Tena mnaomba wafu !
biblia inasema makanisa ya wakat wa mwisho yatakuwa uchi na vipofu na hawatakuwa waanajua ilo
 
Je kanisa la masanja mkandamizaji FEEL FREE CHURCH pia ni la kipentecoste ?!
pentekoste ndio kanisa la mizaha duniani.
ndio mana wanaikejeli injili kwa uchekeshaji tena nyuma ya wanazoziita madhabahu. biblia inasema shetani atakuwa nyuma ya madhabahu na atakiwa akiabudiwa wakati huu
 
Ee Kanisa la dreamers Tiptop manzese la mwanamama mbeba maono muimbaji Christina shusho je ni la kilokole ?

Vipi kanisa la mwanamama mrembo mwenye dimpozi na sauti adimu ya kukwaruza mama Bahati bukuku ni la kipentekoste ?

Vipi kanisa la mama rwakwatare mlima wa moto Assemblies Of God mikocheni B ?
ama hakika pentekoste iliahidiwa itakuwa uchi na kipofu na hata watakapoambiwa hawatakuwa na habari .
biblia imeweka waz mwanamke haruhusiwi kuwa mchungaji. mchungaji sharti awe mwanaume .
lakini
 
2 Wathesalonike 2:9-12
[9]yule ambaye kuja kwake ni kwa mfano wa kutenda kwake Shetani, kwa uwezo wote, na ishara na ajabu za uongo;
Even him, whose coming is after the working of Satan with all power and signs and lying wonders,
[10]na katika madanganyo yote ya udhalimu kwa hao wanaopotea; kwa sababu hawakukubali kuipenda ile kweli, wapate kuokolewa.
And with all deceivableness of unrighteousness in them that perish; because they received not the love of the truth, that they might be saved.
[11]Kwa hiyo Mungu awaletea nguvu ya upotevu, wauamini uongo;
And for this cause God shall send them strong delusion, that they should believe a lie:
[12]ili wahukumiwe wote ambao hawakuiamini kweli, bali walikuwa wakijifurahisha katika udhalimu.
That they all might be damned who believed not the truth, but had pleasure in unrighteousness.
 
Zitaje Sasa tujue. Msiwe watu wa mashaka kwa watumishi wa Mungu. Hebu fikiria kwamba mtumishi Ni wa Mungu alafu wewe hujasimama vizuri then unamsema vibaya unafikiri Mungu anakuchukuliaje?
Ufunuo wa Yohana 2:2-3
[2]Nayajua matendo yako, na taabu yako, na subira yako, na ya kuwa huwezi kuchukuliana na watu wabaya, tena umewajaribu wale wajiitao mitume, nao sio, ukawaona kuwa waongo;
I know thy works, and thy labour, and thy patience, and how thou canst not bear them which are evil: and thou hast tried them which say they are apostles, and are not, and hast found them liars:
[3]tena ulikuwa na subira na kuvumilia kwa ajili ya jina langu, wala hukuchoka.
And hast borne, and hast patience, and for my name's sake hast laboured, and hast not fainted.
 
ama hakika pentekoste iliahidiwa itakuwa uchi na kipofu na hata watakapoambiwa hawatakuwa na habari .
biblia imeweka waz mwanamke haruhusiwi kuwa mchungaji. mchungaji sharti awe mwanaume .
lakini
Nadhani ukiwatoa wa katoliki madhehebu the rest wanawake naona wanaongoza Ibada, nimeona kwenye makanisa hayo!

Ina maana hao wanawake wanakuwa kinyume na Sheria?
 
ata awe nani akikufanyia muujiza ama ishara ilinganishe kwanza na neno. ww maji na mafuta ya naitwa jina la watumishi. unasikia mtu anasema mwamposa ameniponya ama mtumishi fulani ameniponya. upofu .

Kumbukumbu la Torati 13:1-8
[1]Kukizuka katikati yako nabii, au mwotaji wa ndoto, akikutolea ishara au ajabu,

[2]ikatukia hiyo ishara au hiyo ajabu aliyokuambia akisema, Na tuifuate miungu mingine usiyoijua, tuitumikie hiyo;
;
[3]wewe usiyasikize maneno ya nabii yule, au yule mwotaji wa ndoto, kwa kuwa BWANA, Mungu wenu, yuawajaribu, apate kujua kwamba mwampenda BWANA, Mungu wenu, kwa mioyo yenu yote na roho zenu zote.
.
[4]Tembeeni kwa kumfuata BWANA, Mungu wenu; mcheni na kushika maagizo yake na kuisikia sauti yake, nanyi mtumikieni na kushikamana naye.

[5]Na yule nabii, au yule mwotaji wa ndoto, na auawe, kwa kuwa amesema yaliyopotoka juu ya BWANA, Mungu wenu, aliyewatoa katika nchi ya Misri, akakukomboa katika nyumba ya utumwa, apate yule mtu kukupotoa katika njia aliyokuamuru BWANA, Mungu wako, uiendee. Ndivyo utakavyouondoa uovu utoke katikati yako.

[6]Atakapokushawishi kwa siri ndugu yako, mwana wa mamaako, au mwana wako, au binti yako, au mke wa kifuani mwako, au rafiki yako aliye kama moyo wako, akikuambia, Twende tukaabudu miungu mingine usiyoijua wewe wala baba zako;
;
[7]katika miungu ya mataifa yaliyo kando-kando yenu karibu nawe au mbali nawe, tokea ncha moja ya dunia hata ncha ya pili ya dunia;
Namely, of the gods of the people which are round abo
[8]usimkubalie wala usimsikize; wala jicho lako lisimwonee huruma, wala usimwache, wala usimfiche;
T
 
Hujakutana na bwana wa zumaridii akiwaponya waamini
 
Nadhani ukiwatoa wa katoliki madhehebu the rest wanawake naona wanaongoza Ibada, nimeona kwenye makanisa hayo!

Ina maana hao wanawake wanakuwa kinyume na Sheria?
1 Timotheo 2:8-14
[8]Basi, nataka wanaume wasalishe kila mahali, huku wakiinua mikono iliyotakata pasipo hasira wala majadiliano.

[9]Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani;

[10]bali kwa matendo mema, kama iwapasavyo wanawake wanaoukiri uchaji wa Mungu.

[11]Mwanamke na ajifunze katika utulivu, akitii kwa kila namna.

[12]Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe katika utulivu.

[13]Kwa maana Adamu ndiye aliyeumbwa kwanza, na Hawa baadaye.

[14]Wala Adamu hakudanganywa, ila mwanamke alidanganywa kabisa akaingia katika hali ya kukosa.
 
Ufunuo wa Yohana 2:2-3
[2]Nayajua matendo yako, na taabu yako, na subira yako, na ya kuwa huwezi kuchukuliana na watu wabaya, tena umewajaribu wale wajiitao mitume, nao sio, ukawaona kuwa waongo;
I know thy works, and thy labour, and thy patience, and how thou canst not bear them which are evil: and thou hast tried them which say they are apostles, and are not, and hast found them liars:
[3]tena ulikuwa na subira na kuvumilia kwa ajili ya jina langu, wala hukuchoka.
And hast borne, and hast patience, and for my name's sake hast laboured, and hast not fainted.
Mtume gani umemjaribu ukamuona muongo?
 
Nadhani ukiwatoa wa katoliki madhehebu the rest wanawake naona wanaongoza Ibada, nimeona kwenye makanisa hayo!

Ina maana hao wanawake wanakuwa kinyume na Sheria?
si sehem moja mungu hajawahi kamwe kumkabidhi mwanamke izo kazi na anasababu zake.

1 Wakorintho 14:34-35,37-38
[34]Wanawake na wanyamaze katika kanisa, maana hawana ruhusa kunena bali watii, kama vile inenavyo torati nayo.

[35]Nao wakitaka kujifunza neno lo lote, na wawaulize waume zao wenyewe nyumbani mwao; maana ni aibu wanawake kunena katika kanisa.

[37]Mtu akijiona kuwa ni nabii au mtu wa rohoni, na ayatambue hayo ninayowaandikia, ya kwamba ni maagizo ya Bwana.

[38]Lakini mtu akiwa mjinga, na awe mjinga.
 
Mtume gani umemjaribu ukamuona muongo?
unataka uige mtihani kama huwezi kuona kitu rahisi kama icho utaweza kuona vigumu.
ni rahisi mnoo kuwajuaa. wanapenda umaarufu na pesa , na wala hawajui dhambi ni nini? mungu hana ushirika na dhambi, ukiona kanisa wanawake washenzi wamejazana makeup usoni na ziwa wameinua, wanatafuta miujiza na pesa , ,,,
 
Kuhusu kuhubiri pesa na mali sioni tatizo.. maana wanamuomba Mungu kupitia jina la Yesu awape mafanikio ya kiuchumi.
Kuhusu usasa kanisani pia sioni tatizo maana tunatumia spika,maiki na teknolojia kedekede ili kusongesha injili mbeleeee
Kuhusu wanawake kuwa wahubiri pia sio kesi. Hayo ni maoni ya paulo kama alivosema kwa maoni yake tusioe wala kuolewa tukae mabachele tuuuu ila kwa namana ya uumbaji wa MUNGU basi tuone..

Changamoto ni mavazi baadhi ya walokole tunajisahau kweny mavazi na pia kujipa haki ya kwenda mbinguni na kuwadharau wengine kiimani
kwa kuanzia neno sioni shida ni la ibilisi, alimwambia hawa hivyo hivyo akamlisha tunda.
mungu hana neno sioni shida ana nyeupe ni nyeupe nyeusi ni nyeusi. biblia inasema shina moja la dhambi ni kupenda pesaaa. ssasas unasemaje hakuna shida.

hayo si maoni ya paulo ss tukusikilize ww maoni yako ama maagizo ya mungu soma hapaa

1 Wakorintho 14:34-35,37-38
[34]Wanawake na wanyamaze katika kanisa, maana hawana ruhusa kunena bali watii, kama vile inenavyo torati nayo.

[35]Nao wakitaka kujifunza neno lo lote, na wawaulize waume zao wenyewe nyumbani mwao; maana ni aibu wanawake kunena katika kanisa.

[37]Mtu akijiona kuwa ni nabii au mtu wa rohoni, na ayatambue hayo ninayowaandikia, ya kwamba ni maagizo ya Bwana.

[38]Lakini mtu akiwa mjinga, na awe mjinga.
 
unataka uige mtihani kama huwezi kuona kitu rahisi kama icho utaweza kuona vigumu.
ni rahisi mnoo kuwajuaa. wanapenda umaarufu na pesa , na wala hawajui dhambi ni nini? mungu hana ushirika na dhambi, ukiona kanisa wanawake washenzi wamejazana makeup usoni na ziwa wameinua, wanatafuta miujiza na pesa , ,,,
Uchu wa pesa kwa Nia yakupeleka injili mbele Ni mzuri huo wewe ndio unakosea Mr.

Injili ipo kwaajili ya kuwashape wanawake hao wenye makeup usoni. Unaonaje endapo wakapaka makeup then wakaishia mtaani badala ya kuja kanisani utapata faida gani?

Acha uzamani wewe
 
Kuhusu kuhubiri pesa na mali sioni tatizo.. maana wanamuomba Mungu kupitia jina la Yesu awape mafanikio ya kiuchumi.
Kuhusu usasa kanisani pia sioni tatizo maana tunatumia spika,maiki na teknolojia kedekede ili kusongesha injili mbeleeee
Kuhusu wanawake kuwa wahubiri pia sio kesi. Hayo ni maoni ya paulo kama alivosema kwa maoni yake tusioe wala kuolewa tukae mabachele tuuuu ila kwa namana ya uumbaji wa MUNGU basi tuone..

Changamoto ni mavazi baadhi ya walokole tunajisahau kweny mavazi na pia kujipa haki ya kwenda mbinguni na kuwadharau wengine kiimani
hayo si maagizo ya pauli inamana ww huamini hata biblia yenyewe.
unachagua watu.

1 Wakorintho 14:34-35,37-38
[34]Wanawake na wanyamaze katika kanisa, maana hawana ruhusa kunena bali watii, kama vile inenavyo torati nayo.

[35]Nao wakitaka kujifunza neno lo lote, na wawaulize waume zao wenyewe nyumbani mwao; maana ni aibu wanawake kunena katika kanisa.

[37]Mtu akijiona kuwa ni nabii au mtu wa rohoni, na ayatambue hayo ninayowaandikia, ya kwamba ni maagizo ya Bwana.

[38]Lakini mtu akiwa mjinga, na awe mjinga.
 
Kuhusu kuhubiri pesa na mali sioni tatizo.. maana wanamuomba Mungu kupitia jina la Yesu awape mafanikio ya kiuchumi.
Kuhusu usasa kanisani pia sioni tatizo maana tunatumia spika,maiki na teknolojia kedekede ili kusongesha injili mbeleeee
Kuhusu wanawake kuwa wahubiri pia sio kesi. Hayo ni maoni ya paulo kama alivosema kwa maoni yake tusioe wala kuolewa tukae mabachele tuuuu ila kwa namana ya uumbaji wa MUNGU basi tuone..

Changamoto ni mavazi baadhi ya walokole tunajisahau kweny mavazi na pia kujipa haki ya kwenda mbinguni na kuwadharau wengine kiimani
hivi ww unajiita mkristo kweli???????

Wagalatia 1:8,10-12
[8]Lakini ijapokuwa sisi au malaika wa mbinguni atawahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo tuliyowahubiri, na alaaniwe.

[10]Maana, sasa je! Ni wanadamu ninaowashawishi, au Mungu? Au nataka kuwapendeza wanadamu? Kama ningekuwa hata sasa nawapendeza wanadamu, singekuwa mtumwa wa Kristo.

[11]Kwa maana, ndugu zangu, injili hiyo niliyowahubiri, nawajulisha ya kuwa siyo ya namna ya kibinadamu.

[12]Kwa kuwa sikuipokea kwa mwanadamu wala sikufundishwa na mwanadamu, bali kwa ufunuo wa Yesu Kristo.
 
Uchu wa pesa kwa Nia yakupeleka injili mbele Ni mzuri huo wewe ndio unakosea Mr.

Injili ipo kwaajili ya kuwashape wanawake hao wenye makeup usoni. Unaonaje endapo wakapaka makeup then wakaishia mtaani badala ya kuja kanisani utapata faida gani?

Acha uzamani wewe
wakiingia kanisani watakuwa kama yule malaya aliyebusu miguu ya yesu alibadilika.
lakini kama ataishi kanisani kama ambavyoangeishi ulimwenguni nibora achague upande huwezi kuwa kwa mungu na ukaupenda ulimwengu. biblia inasema watu kama hao wasiobadilika watengwe kanisani maana wanamzuia roho wa mungu.

mungu hajali wengi, hajawahi kamwe kudeal na kundi. alipokuwa nawatu wengi aliwachapa neno wakapungua wakabaki 70. wakapungua tena wakawa 12.
biblia ianasema msiogope enyi kundi dogo baba yenu wa mbinguni amewaandalia mema.
 
Back
Top Bottom