Penye nia pana njia: Ni wiki ya 5 sasa sijatia soda mdomoni, kumbe inawezakana kabisa

Mimi nina miaka karibia miwili sijanywa soda. Nina mieizi zaidi ya minne sasa sijatumia sukari. Ila pombe imekunywa recently baada ya kukaa miezi mitano bila kunywa.

It's funny ila nashindwa kujielewa.
 
Hii kitu ni addictive kuliko tunavyodhani, we fikiria kila siku watu wanaambiwa madhara ya kutisha ya soda lakini nado wanakunywa, sio kwamba wanapenda kufa, hapana, ila soda ukiacha kunywa ina Arosto kali sana kama Cocaine, ni balaa.
Ukiwa unakunywa maji vizuri inavyotakiwa,trust me,soda unaacha!
Mi niliweza kwa njia hiyo!

Soda Mara moja moja sana tena sio kwamba nakua na kiu nayo,ikitokea na kiu nayo manaake sijanywa maji vizuri
 
Inawezekana kabisa mkuu. Nina mwaka wa 10 huu sasa sijatia soda kinywani
 
Unaweza usinywe soda ukanywa aloe vera juice na ukafa na kansa vile vile! Ni kuomba mwisho mwema tu
 
Ila hili gumu, ngoja nianze kesho
 
 
Pole sana ni addiction mbaya sana...

Kama ile addiction ya watu fulani hawawezi kula ubwabwa bila ndizi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…