FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #201
Tena inawezekana kabisa kuna chembechembe za Cocaine muleWanawekaga madawa ya kulevya kwenye soda.
Madawa ya kuleta uraibu.
Hasa COCACOLA ina cocaine ya kutosha tu.Tena inawezekana kabisa kuna chembechembe za Cocaine mule
Nimeshasahau hata kama kuna kitu kinaitwa soda 😂😂😂, daah, maisha haya kweli ni kuamua tu, hakishindikani kitu aisee. Hata mwili wangu watu wananiambia kuna nuru na mng’ao fulani hivi umeongezekaNatumae mpaka muda huu utakua ushazea kuishi bila kunywa soda...
Kama ni ishu ndogo, acha soda tuoneIshu ndogo sana hii
Keep it up brother.Maji ya chupa,sodas zote ambazo zina kiasi kikubwa sana cha artificial sweeteners kama Aspertame,artificial juices,natural juices ambazo zina additives kama preservatives etc.etc.ni silent killers,avoid them at any cost.Hizi ndizo zinazoleta magonjwa mengi yasiyotibika kama Cancers,Heart Diseases,Diabetes etc.etc.Wizara ya Afya itoe muongozo unywaji wa 'energy drink'
Ninaiomba Serikali kupitia wizara ya afya itoe muongozo kwenye matumizi ya vinywaji viitwavyo energy maana imefikia watu wanadhani ni soda wanakunjwa kila baada ya kula na kukata kiu au vichanganyio vya pombe kali. Mbaya zaidi vijijini kwenye sherehe wanawapa mpaka watoto wadogo kama juice...www.jamiiforums.com
Nimecheka sanaNiombeni jamani mimi nina masaa mawili bado sijakumbuka soda ila nataka niache niombeeni siku iishe bila kunywa