Penye nia pana njia: Ni wiki ya 5 sasa sijatia soda mdomoni, kumbe inawezakana kabisa

Hata hizo unakuwa ujapunguza risk, hizo zote ni kemikali. Yale yale unakuta mtu eti soda anywi ila anavuta sigara.
Sigara ni hatari sana...

Chemicals in Every Puff of Cigarette Smoke​

How many harmful and potentially harmful chemicals are in a cigarette? Is there more than nicotine and tar?

Fact:
There are more than 7,000 chemicals in cigarette smoke.2More than 70 of those chemicals are linked to cancer.
 
 
Yaani hili jamaa limepania kutumaliza kabisa, hii kitu ni addictive kama cocaine, yaani anauza chuoa bilioni 1 kwa mwaka, na anategemea kuanza kuuza chupa bilioni karibu 4 baada ya miaka mitatu.., maana yake atawafanya wanywaji wawe addicted na kunywa zaidi na zaidi hizo sumu, daah...

 
 
Hiyo kila mtu anweza wala haihitaji kufungua uzi.

Kuna mkulungwa humu aliadhimisha miaka miwili bila kufanya uzinzi.

Kuacha uzinzi ndio tukupe pongezi.
 
 
 
 
 
Na mimi ningeacha ila kila nikiona mirinda nyeupe kwenye friji akili inaruka
 

Bado hujasema,tulia kama mwaka hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…