Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sigara ni hatari sana...Hata hizo unakuwa ujapunguza risk, hizo zote ni kemikali. Yale yale unakuta mtu eti soda anywi ila anavuta sigara.
Hiyo kila mtu anweza wala haihitaji kufungua uzi.Mara ya kwanza nilipojaribu nile chakula bila kunywa soda niliona maisha magumu sana, chakula hakishuki, sina hamu ya maji wala juisi ya matumda wala chochote kile, yaani natamani soda tu, hapa ndipo nilipogundua kumbe hii ni shida, ni kama madawa ya kulevya, nina mashaka kuna kitu wanaweka mule, hii si kawaida.
Mwezi uliopita nikasema hata ikibidi nife kwa kukosa soda, so be it, ila sinywi hata iweje, ni wiki ya 5 leo sijanywa soda, napitia wakati mgumu sana, ila namshukuru Mungu, naendelea vizuri.
===============================
===============================
Update: 09/11/2021
==========================
Update: 05/02/2023
Majibu ya Dkt. William baada ya Azam kukanusha juisi zao za Azam Embe hazina sumu
Kuna mtu anahoji, Kwanini nimekazana na Azam tu na sio kampuni zingine... Hoja yangu ipo very clear, Kwamba Azam tunamshika hadi aondoe kemikali 2 ambazo kitaalam hazishauliwi kuchangaywa kwa wakati mmoja, Kemikali hizo zipo mbili yani Asobic Acid na Benzoate hizi kemikali zikiwekwa kwa pamoja...www.jamiiforums.com
___________________________
Tuseme ukweli kuhusiana na Bidhaa za Azam. Kuna mengi tunayanyamazia…
Nlishawahi kusoma na kuzungumzia kuhusuana na maziwa ya Azam. Watu wakaja leta ushabiki sana na ushabiki wa kipumbavu tu wa kidini n.k wanaokufa au kuathirika ni hawa hawa maskini. Matajiri hawanunui bidhaa poor kama za Azam. Ukiangalia juice za maembe za Azam unaweza kuta zipo kama aina mbili...www.jamiiforums.com
Mara ya kwanza nilipojaribu nile chakula bila kunywa soda niliona maisha magumu sana, chakula hakishuki, sina hamu ya maji wala juisi ya matumda wala chochote kile, yaani natamani soda tu, hapa ndipo nilipogundua kumbe hii ni shida, ni kama madawa ya kulevya, nina mashaka kuna kitu wanaweka mule, hii si kawaida.
Mwezi uliopita nikasema hata ikibidi nife kwa kukosa soda, so be it, ila sinywi hata iweje, ni wiki ya 5 leo sijanywa soda, napitia wakati mgumu sana, ila namshukuru Mungu, naendelea vizuri.
===============================
===============================
Update: 09/11/2021
==========================
Update: 05/02/2023
Majibu ya Dkt. William baada ya Azam kukanusha juisi zao za Azam Embe hazina sumu
Kuna mtu anahoji, Kwanini nimekazana na Azam tu na sio kampuni zingine... Hoja yangu ipo very clear, Kwamba Azam tunamshika hadi aondoe kemikali 2 ambazo kitaalam hazishauliwi kuchangaywa kwa wakati mmoja, Kemikali hizo zipo mbili yani Asobic Acid na Benzoate hizi kemikali zikiwekwa kwa pamoja...www.jamiiforums.com
___________________________
Tuseme ukweli kuhusiana na Bidhaa za Azam. Kuna mengi tunayanyamazia…
Nlishawahi kusoma na kuzungumzia kuhusuana na maziwa ya Azam. Watu wakaja leta ushabiki sana na ushabiki wa kipumbavu tu wa kidini n.k wanaokufa au kuathirika ni hawa hawa maskini. Matajiri hawanunui bidhaa poor kama za Azam. Ukiangalia juice za maembe za Azam unaweza kuta zipo kama aina mbili...www.jamiiforums.com
Hongera,simamia Hilo!Mwaka wa 8 huu sinywi hayo matakataka. Sio soda, sio juice za kopo, sio energy drinks, sio aina yoyote ya kilevi. Vilevi vingine nje ya soda sijawahi kuvigusa toka nizaliwe. Ni maji tu.
Daah , miki wiki iliyopita si nikajita nimekunywa Pepsi bhanaa.., hata sijui imekuawaje after 3 years!Hongera,simamia Hilo!
Usinywe mkuu Zina madhara ,ona mchezaji mkubwa kama Christian Ronado hanywi masoda kabisa!Daah , miki wiki iliyopita si nikajita nimekunywa Pepsi bhanaa.., hata sijui imekuawaje after 3 years!