Ndio wale walivyo mazuzu wanaona kila mtu zuzunani awafungulie account hao mbuzi ? mimi nilimtukana zari kwenye zarimond daily nashangaa saa hyo hyo nikala block kwa zari na hyo zarimond daily na zarinah_soldier nikashangaa ila nikajua kumbe ni haohao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ana account kama kumi nyau yulee...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwache siku akila block ndio atamjua lulu vizuri
Nakumbuka nilikula block kabla seki le bilionea hajafa
Nikamwambia dogo rudi shule uzuri unachuja huo akatokea msukule wake akajibu ukisoma ww inatosha nikampa kichambo msukule hakujibu tena basi kila nikiingia naona mauzauza nikajua nishafanyiwa rough hapa
Nimegundua zile fan page nyingi ni za mastaa maana ile ya lulu alinijibu md huohuo na block juu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sana tu!kitoombo cha mchana kitamu jamani hadi nimemuonea wivu
ni wivu tu unakusumbua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli mjaa asili haachi asili![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Simuonei wivu nilikuwa namwambia g kuwa kajala analiwa bado ila hataki kiki kama chipukizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani kuna wanaume wanamaneno jamani huu si mchambo huu kabisalulu ana uzuri gani mtu hawi mrefu mpaka avae high heels
anakomwe kile kichwa akitaka kujifunga ushungi labda atumie shuka la futi 6 kwa sita
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ana account kama kumi nyau yulee...
Ukimchamba block hapo hapo!!
Dogo nuksi yule...!!
Ila dogo anajitahidi kuuza na kakubwa kale kana 23 Ila kila siku ana 18 19!!
Mie siku hizi simfagilii wala nini!hata akiniblock shauri zake!
Na majey nae nimemtoa akili zote yaani watoto sijui watatu wote mama zao kawaacha kaenda kulivaa jini!
Anataka awape shida kwenye kugawana mali akifa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mtaniua jamani, watu nyie hahahnaskia hajiamini na ufupi wake hata akiwa nyumbani jikoni anapika na khanga ndani mda wote anatembea kavaa skuna[emoji85] [emoji23]
Hivi na ww zile mali akifa zitaendelea kweli unadhani sio za maluweluwe zile mmmh mdomo komaaa[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ana account kama kumi nyau yulee...
Ukimchamba block hapo hapo!!
Dogo nuksi yule...!!
Ila dogo anajitahidi kuuza na kakubwa kale kana 23 Ila kila siku ana 18 19!!
Mie siku hizi simfagilii wala nini!hata akiniblock shauri zake!
Na majey nae nimemtoa akili zote yaani watoto sijui watatu wote mama zao kawaacha kaenda kulivaa jini!
Anataka awape shida kwenye kugawana mali akifa!
ziendelee wapi?hana mke hana mtoto mkubwa!??Hivi na ww zile mali akifa zitaendelea kweli unadhani sio za maluweluwe zile mmmh mdomo komaaa[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Wanajazia watu mafuta mwaka mzima shoga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wambea hao hatareeee!!![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Bongo muvi tumewazoea kwa kujidogodesha yaani kwao ni utamaduni
Halafu sahivi wamefollow page zooote za umbeya unaweza ukawa umekomenti kwenye hizo page ila ukashangaa umekula block
Mwanzo kabla sijaweza kumezea mambo nilikula block za hatari mpaka salama jabir ameniblock [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sisahau wallah
ziendelee wapi?hana mke hana mtoto mkubwa!??
halafu una akili sana ujue!!![emoji122] [emoji122] [emoji122]
Hivi kila siku mafuta bure Bure tu?
au ndo team makafara?[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wambea hao hatareeee!!!
Kakublock hadi salama?!!
We kiboko?!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani hivi mwaka mzima unaekea watu mafuta itadhani ni maji ya kisima mmmh simsomi walah
Akili atoe wapi yule wanawake wenyewe anaowafata ni wakuuzia sura na wote wanaangalia waleti imetuna
Shoga umbea noma nakwambia[emoji2][emoji2][emoji2] salama J kaniblock mazima nina kama miaka account OG simpati ila fekero linasaidia mpaka basi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
uko vizuri mine!maana wewe ni wa kimataifa bado wema kukublock
tu!
Majizo bwana utajiri hata sielewi umetokea wapi!??
ghafla ghafla vile kutoka DJ...e mastaz mpk umiliki!!!
Yaliyomo yamo!!mjini hapa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] hunitakii mema team wema bar maid na wacheza vigodoro wa mwananyamala tandale sokoni na manzese wana mitusi mikavu sitaki ugomvi nao mana wale hajui kuchamba wanajua mitusi mizito ile inazibua mpaka masikio
Ukichamba wanakutagi kundi kama watu 100 hivi uwiiii nimewashindwa wale kule napita kimyakimya nachamba mbele ya safari [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mmh utajiri umekuja kama volcano jaman ngoja ninyamaze nisije nika-ulimbokwa bureee mjini hapa na hivi kwetu na msitu wa pande ni jirani
Mmmh...kimoyomoyo unakubali kama mzuri lakini, hata awe na komo kama Bedford bado ni mrembo kale kabinti.lulu ana uzuri gani mtu hawi mrefu mpaka avae high heels
anakomwe kile kichwa akitaka kujifunga ushungi labda atumie shuka la futi 6 kwa sita
Hakuna cha urembo, mvuto apo labda kidogo u supersta , ata Kanumba naye aliona msg za mashaka ndipo akasukumwa, mcharuko tu uyoHilo ndio tatizo la kuwa demu mrembo sana, mwenye mvuto na superstar
Team wema noma bana ila kweli house gal ndio mwisho wa reli yaani pale timu mama ubaya wame surrender[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
team wema ni nyokkkkooooo!!
yaani wale....hapana yaani utahama asubuhi na utafuta acc!!
maana kuna wale visible na invisible team wema anawaeza house girl tu!!
tzshaderooom i
wanamtukanaaaa!!hapohapo anawarudia tenaaa!!
Wema ana jeshi la sisimizi au nyuki...
Wako vizuri wale balaaa!!!
Shoga ya majizo na utajiri wake Mange ashasemaga anauza mapoudaaaa!!!![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] mily yule anajua yule si alikua mwenzao akajitoa ndo maanaTeam wema noma bana ila kweli house gal ndio mwisho wa reli yaani pale timu mama ubaya wame surrender
Ehhh tena kumbe mambo ya poudaaa kweli mjini form six
Ka Lulu kenyewe wakati kanakuwa ninasikia mama anaamkia grocery kuzimua, watoto wanaamka hawajui watakula nini mama anapata offer za bia na supu.Maji hufuata mkondo, mama yake alikuwa kicheche, kampata Lulu kwenye ukicheche tena na mme wa mtu, tokea lini mbwa akazaa paka ?
Lulu mjanja, habari za madanga yake unazinyaka kama hivi hasemi na ameshamjengea mama yake nyumba, Wema jina kubwa for nothing na kila kitu kuhusu maisha yake anapost insta.Yule na wema
Mara mia wema hajaanza mapenzi ktk umri mdogo
Halafu wema yy anapenda vitoto visivyojielewa Ila kwa Lulu wema anasoma mileage nyingi sana tu
Mwanzo nilisikia tatizo lilikuwa dini lakini huko tunakokwenda ninadhani matatizo yanaongezeka.kwani majizzo anampango wa kumuoa?
Mwanaume mwenyewe mbona ninasikia alikuwa prince wa wakati ule (mwana sheria).Haka ka manzi kana pepo la ngono kama mnakumbuka marehamu kanumba alijitaidi sana kukatunza na kukalea vizuri. Lakini mwisho wake kakamtesa kwa Julia uroda na wasanii wa bongo fleva
Hata ugonvi wao ulianza kwa sababu ka smat phone ka Manzi kalikua bize sana na wanaume