Sonia G
JF-Expert Member
- Jul 13, 2014
- 3,071
- 3,909
Ndio wale walivyo mazuzu wanaona kila mtu zuzunani awafungulie account hao mbuzi ? mimi nilimtukana zari kwenye zarimond daily nashangaa saa hyo hyo nikala block kwa zari na hyo zarimond daily na zarinah_soldier nikashangaa ila nikajua kumbe ni haohao.
Kumbe tushajua mchezo sie tunaenda na code zao tu