Penzi la Lulu na majizzo 'matatani'

Penzi la Lulu na majizzo 'matatani'

nani awafungulie account hao mbuzi ? mimi nilimtukana zari kwenye zarimond daily nashangaa saa hyo hyo nikala block kwa zari na hyo zarimond daily na zarinah_soldier nikashangaa ila nikajua kumbe ni haohao.
Ndio wale walivyo mazuzu wanaona kila mtu zuzu
Kumbe tushajua mchezo sie tunaenda na code zao tu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwache siku akila block ndio atamjua lulu vizuri
Nakumbuka nilikula block kabla seki le bilionea hajafa
Nikamwambia dogo rudi shule uzuri unachuja huo akatokea msukule wake akajibu ukisoma ww inatosha nikampa kichambo msukule hakujibu tena basi kila nikiingia naona mauzauza nikajua nishafanyiwa rough hapa
Nimegundua zile fan page nyingi ni za mastaa maana ile ya lulu alinijibu md huohuo na block juu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ana account kama kumi nyau yulee...

Ukimchamba block hapo hapo!!

Dogo nuksi yule...!!

Ila dogo anajitahidi kuuza na kakubwa kale kana 23 Ila kila siku ana 18 19!!

Mie siku hizi simfagilii wala nini!hata akiniblock shauri zake!

Na majey nae nimemtoa akili zote yaani watoto sijui watatu wote mama zao kawaacha kaenda kulivaa jini!

Anataka awape shida kwenye kugawana mali akifa!
 
kitoombo cha mchana kitamu jamani hadi nimemuonea wivu
ni wivu tu unakusumbua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sana tu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Simuonei wivu nilikuwa namwambia g kuwa kajala analiwa bado ila hataki kiki kama chipukizi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli mjaa asili haachi asili!
 
lulu ana uzuri gani mtu hawi mrefu mpaka avae high heels
anakomwe kile kichwa akitaka kujifunga ushungi labda atumie shuka la futi 6 kwa sita
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani kuna wanaume wanamaneno jamani huu si mchambo huu kabisa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ana account kama kumi nyau yulee...

Ukimchamba block hapo hapo!!

Dogo nuksi yule...!!

Ila dogo anajitahidi kuuza na kakubwa kale kana 23 Ila kila siku ana 18 19!!

Mie siku hizi simfagilii wala nini!hata akiniblock shauri zake!

Na majey nae nimemtoa akili zote yaani watoto sijui watatu wote mama zao kawaacha kaenda kulivaa jini!

Anataka awape shida kwenye kugawana mali akifa!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Bongo muvi tumewazoea kwa kujidogodesha yaani kwao ni utamaduni
Halafu sahivi wamefollow page zooote za umbeya unaweza ukawa umekomenti kwenye hizo page ila ukashangaa umekula block
Mwanzo kabla sijaweza kumezea mambo nilikula block za hatari mpaka salama jabir ameniblock [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sisahau wallah
 
Hivi na ww zile mali akifa zitaendelea kweli unadhani sio za maluweluwe zile mmmh mdomo komaaa[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Wanajazia watu mafuta mwaka mzima shoga
 
ziendelee wapi?hana mke hana mtoto mkubwa!??

halafu una akili sana ujue!!![emoji122] [emoji122] [emoji122]

Hivi kila siku mafuta bure Bure tu?

au ndo team makafara?[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Bongo muvi tumewazoea kwa kujidogodesha yaani kwao ni utamaduni
Halafu sahivi wamefollow page zooote za umbeya unaweza ukawa umekomenti kwenye hizo page ila ukashangaa umekula block
Mwanzo kabla sijaweza kumezea mambo nilikula block za hatari mpaka salama jabir ameniblock [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sisahau wallah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wambea hao hatareeee!!!
Kakublock hadi salama?!!

We kiboko?!!
 
ziendelee wapi?hana mke hana mtoto mkubwa!??

halafu una akili sana ujue!!![emoji122] [emoji122] [emoji122]

Hivi kila siku mafuta bure Bure tu?

au ndo team makafara?[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wambea hao hatareeee!!!
Kakublock hadi salama?!!

We kiboko?!!

Yaani hivi mwaka mzima unaekea watu mafuta itadhani ni maji ya kisima mmmh simsomi walah

Akili atoe wapi yule wanawake wenyewe anaowafata ni wakuuzia sura na wote wanaangalia waleti imetuna

Shoga umbea noma nakwambia[emoji2][emoji2][emoji2] salama J kaniblock mazima nina kama miaka account OG simpati ila fekero linasaidia mpaka basi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
uko vizuri mine!maana wewe ni wa kimataifa bado wema kukublock
tu!

Majizo bwana utajiri hata sielewi umetokea wapi!??
ghafla ghafla vile kutoka DJ...e mastaz mpk umiliki!!!

Yaliyomo yamo!!mjini hapa!
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] hunitakii mema team wema bar maid na wacheza vigodoro wa mwananyamala tandale sokoni na manzese wana mitusi mikavu sitaki ugomvi nao mana wale hajui kuchamba wanajua mitusi mizito ile inazibua mpaka masikio
Ukichamba wanakutagi kundi kama watu 100 hivi uwiiii nimewashindwa wale kule napita kimyakimya nachamba mbele ya safari [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mmh utajiri umekuja kama volcano jaman ngoja ninyamaze nisije nika-ulimbokwa bureee mjini hapa na hivi kwetu na msitu wa pande ni jirani
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

team wema ni nyokkkkooooo!!

yaani wale....hapana yaani utahama asubuhi na utafuta acc!!

maana kuna wale visible na invisible team wema anawaeza house girl tu!!
tzshaderooom i
wanamtukanaaaa!!hapohapo anawarudia tenaaa!!

Wema ana jeshi la sisimizi au nyuki...
Wako vizuri wale balaaa!!!

Shoga ya majizo na utajiri wake Mange ashasemaga anauza mapoudaaaa!!!![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
lulu ana uzuri gani mtu hawi mrefu mpaka avae high heels
anakomwe kile kichwa akitaka kujifunga ushungi labda atumie shuka la futi 6 kwa sita
Mmmh...kimoyomoyo unakubali kama mzuri lakini, hata awe na komo kama Bedford bado ni mrembo kale kabinti.
 
Hilo ndio tatizo la kuwa demu mrembo sana, mwenye mvuto na superstar
Hakuna cha urembo, mvuto apo labda kidogo u supersta , ata Kanumba naye aliona msg za mashaka ndipo akasukumwa, mcharuko tu uyo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

team wema ni nyokkkkooooo!!

yaani wale....hapana yaani utahama asubuhi na utafuta acc!!

maana kuna wale visible na invisible team wema anawaeza house girl tu!!
tzshaderooom i
wanamtukanaaaa!!hapohapo anawarudia tenaaa!!

Wema ana jeshi la sisimizi au nyuki...
Wako vizuri wale balaaa!!!

Shoga ya majizo na utajiri wake Mange ashasemaga anauza mapoudaaaa!!!![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Team wema noma bana ila kweli house gal ndio mwisho wa reli yaani pale timu mama ubaya wame surrender
Ehhh tena kumbe mambo ya poudaaa kweli mjini form six
 
[emoji23] mily yule anajua yule si alikua mwenzao akajitoa ndo maana

Wanamtukana Ila hana time!!

Eehh shosti msingi pouda ule niliskiaga umbea wa mjini!!

Si unajua mjini tunanyimna ugali tu....
 
Maji hufuata mkondo, mama yake alikuwa kicheche, kampata Lulu kwenye ukicheche tena na mme wa mtu, tokea lini mbwa akazaa paka ?
Ka Lulu kenyewe wakati kanakuwa ninasikia mama anaamkia grocery kuzimua, watoto wanaamka hawajui watakula nini mama anapata offer za bia na supu.
 
Yule na wema
Mara mia wema hajaanza mapenzi ktk umri mdogo

Halafu wema yy anapenda vitoto visivyojielewa Ila kwa Lulu wema anasoma mileage nyingi sana tu
Lulu mjanja, habari za madanga yake unazinyaka kama hivi hasemi na ameshamjengea mama yake nyumba, Wema jina kubwa for nothing na kila kitu kuhusu maisha yake anapost insta.
 
Haka ka manzi kana pepo la ngono kama mnakumbuka marehamu kanumba alijitaidi sana kukatunza na kukalea vizuri. Lakini mwisho wake kakamtesa kwa Julia uroda na wasanii wa bongo fleva

Hata ugonvi wao ulianza kwa sababu ka smat phone ka Manzi kalikua bize sana na wanaume
Mwanaume mwenyewe mbona ninasikia alikuwa prince wa wakati ule (mwana sheria).
 
Back
Top Bottom