Penzi la Zari na Diamond lipo ICU

HIVI HUNA KAZI? AU NDIYO USHILAWADU?? KWA USAWA WA JPM KAA CHONJO SAA MBAYA[TUMIA MUDA MWINGI KUINGIZA TIJA MWANAUME]
 
naona zari kaona aweke dole la kati tu... upuuuzi mtupuuu!!!
 
Bora Mungu alifanya ivi vifutio vyetu haviishi,maana ingekuwa vinaisha kama Mshumaa,kuna watu wangeumbuka.
 
Na zari nae anafurahi kukomesha wambea kua kacheat ila karudi[emoji3][emoji3] akili zake anazijua mwenywe.

Naona Dai anajua kabisa zari anapenda show off so anambembeleza kupitia hiyo njia.

Ila Dai jamani hajui kufunga zipu sijui kwanini? Nampongeza Zari ni mvumilivu sana aisee
 
Acha mwana avunje mifupa angali meno ipo, alichezea vibuti sana akiwa sio famous
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…