Penzi limekolea hadi najiuliza wanaochepuka wanatafuta nini?

🤣🤣🤣 alikuwa sahihi, ukichepuka na pisi kali kuliko mkeo hata mke akikufumania akiiona ile pisi anaweza akasema kweli hapa mume wangu ulikuwa na haki ya kunicheat
Na hiyo ndio akili. Unachepuka na pisi kali mke mwenyewe akimuona anasema dah ata na mie ningezaliwa mwanaume ningeigegeda hii mrembo
 
Tuliza mshono jombaaa.
Alf omba Mungu siku ya siku ww ndo uwe wa kwanza kutamka muachane Ila akiwa yeye utaja hapa tutakugawia handkerchief tunazo nyingi sana
 
me pia nipo hizo level jmn aminini kuna watu tunaenjoy... watu wengi naona wamecomment negativity
 
Mtakua mna kama week 2 hivi. Soon ataanza kukuona mbuzi na wewe unamuona kama pig.
Mapenzi huwa hayako hivyo, mkipendana for real basi kadri mnavyozidi kuwa pamoja na kupitia vichangamoto vidogovidogo ndivyo jinsi mnazidi kunatana.

Hayo ya kunoga after two week mara nyingi ni illusion tu, honestly nipo kwenye mahusiano na classmate wangu wa Olevel kutoka ujana mpaka sasa ni mke wangu for 17years (10 ya ubishoo na 7 ya ndoa), tunapendana mno.

KWAHIYO UZI WA JAMAA, naelewa anajifikiriaje kuandika hivyo.
 
Ngoja junior azaliwe
 
Mlioniombea mabaya wote mshindwe, nakemea pepo la wivu
 
me pia nipo hizo level jmn aminini kuna watu tunaenjoy... watu wengi naona wamecomment negativity
Thanks for being positive,
Wengi wanataka maisha yao yawe sawa kwa kila mtu
 
Mtaachana tu[emoji1787][emoji23][emoji1787]
 
Yaaani wewe umeongea fact... Sasa hapo sipingani na weww kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]🥲[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] wee ni mtu mbad.. an kimya kimya aiseeee
Namwacha badala ya YEYE kuniacha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…