Penzi limekolea hadi najiuliza wanaochepuka wanatafuta nini?

Penzi limekolea hadi najiuliza wanaochepuka wanatafuta nini?

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Niko katika level ya juu kabisa ya kufurahia mapenzi, kama penzi letu litapimwa kwenda chini basi litakuwa limezidi kina cha Mariana Trench, kama ni resilience ya kuhumili vishindo, basi hili penzi ni zaidi ya bunker za kujikinga na bomu la nyuklia.

Haimaanishi kuwa hatutofautiani katika baadhi ya mambo, ila namaanisha tunaelewana sana. nadhani penzi letu ndiyo penzi zito kuliko yote Duniani kwa sasa. No devil's lie will penetrate, and if he tries, he will be annihilated instantly.

sasa swali kwa wachepukaji, kwanini mnachepuka?

Kut 20:8-11
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]haya mapenzi tunyamaze tu

JamiiForums-1065940134.jpg
 
Niko katika level ya juu kabisa ya kuinjoi mapenzi, kama penzi letu litapimwa kuenda chini basi litakua limezidi kina cha Mariana trech, kama ni resilience ya kuhumili vishindo, basi hili penzi ni zaidi ya bunker za kujikinga na bomu la nyuklia.
haimaanishi kua hatutofautiani katika baadhi ya mambo ila namaanisha tunaelewana sana. nadhani penzi letu ndio penzi zito kuliko yote duniani kwa sasa. no devils lie will penetrate, and if he try, he will be annihilated instantly.

sasa swali kwa wachepukaji, kwanini mnachepuka?

Kut 20:8-11
Wanaume tunachepuka si kwamba hatuwapendi wake zetu ni vile tunatamani kuonja ladha tofauti.

Unakutana na pisi kali mkeo haoni ndani hata nusu hapo kimoyo moyo lazima ujisemee hapa mke wangu anisamehe tu
 
Niko katika level ya juu kabisa ya kuinjoi mapenzi, kama penzi letu litapimwa kuenda chini basi litakua limezidi kina cha Mariana trech, kama ni resilience ya kuhumili vishindo, basi hili penzi ni zaidi ya bunker za kujikinga na bomu la nyuklia.

Haimaanishi kua hatutofautiani katika baadhi ya mambo ila namaanisha tunaelewana sana. nadhani penzi letu ndio penzi zito kuliko yote duniani kwa sasa. no devils lie will penetrate, and if he try, he will be annihilated instantly.

sasa swali kwa wachepukaji, kwanini mnachepuka?

Kut 20:8-11
There's always a rise before a fall.
Gravity
 
Back
Top Bottom