sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
Niko katika level ya juu kabisa ya kufurahia mapenzi, kama penzi letu litapimwa kwenda chini basi litakuwa limezidi kina cha Mariana Trench, kama ni resilience ya kuhumili vishindo, basi hili penzi ni zaidi ya bunker za kujikinga na bomu la nyuklia.
Haimaanishi kuwa hatutofautiani katika baadhi ya mambo, ila namaanisha tunaelewana sana. nadhani penzi letu ndiyo penzi zito kuliko yote Duniani kwa sasa. No devil's lie will penetrate, and if he tries, he will be annihilated instantly.
sasa swali kwa wachepukaji, kwanini mnachepuka?
Kut 20:8-11