Pep Guardiola anaenda kuleta swali tena kwa mashabiki wa mpira

Volume ya usajili haikiwa kubwa? Kusajili wachezaji kama Zlatan, Villa, Alves, Fabregas, Sanchez hao watu unawachukulia powa ama? Barca ndio walikuwa washindani wa Real Madrid kwa sajili kubwa kipindi hicho.
Katika misimu minne ilibidi asisajili kabisa? Alafu zlatan, Sanchez na fabregas hawakuleta impact, project ya kuwatumia ilifeli. Ndio uone tatizo sio kusajili wazuri bali kuwaingiza kwenye mfumo
 
Timu zingine zinachukua wachezaji bure Kama wanitesa united ,Chelsea ,liver ,totte, arsenal. Ila man city pekee ndo ananunua wachezaji. mila ana Uhuru wa kuchangia mawazo
 
2006 alafu pep akaenda misimu mitatu mbele? 2008 ni misimu mitatu mbele?

Messi 2006 alikua anacheza anamuweka bench ronaldinho au giuly?

Mbona Xavi humzungumzii kukaa bench?

Messi alikuwa anacheza kulia kwa Giuly, Xavi pia alikuwa ni starter kwenye hiyo timu, alipata injury amabyo ilimueka juu zaidi ya miezi minne na ndio mana fainal alikaa bench mana hakuwa 100% feet.

Tatizo lenu vijana ni mihemko inakuteseni bila ya kuwa na uwelewa wowote. Xavi ameanza kucheza ndani ya Barca toka 1998. Na kipindi hicho 2006 alikuwa tayari ni vice Captain wa timu, Pumbav kabisa.
 
Wewe nimekuuliza walikua wanaanza wachezaji 15 uwanjani? Van bommel, deco, edmilson, ronaldinho, Yaya toure, deco, giuly, xavi, iniesta, Messi, etoo, henry

Au mabeki kulikua hakuna?
 
Wewe nimekuuliza walikua wanaanza wachezaji 15 uwanjani? Van bommel, deco, edmilson, ronaldinho, Yaya toure, deco, giuly, xavi, iniesta, Messi, etoo, henry

Au mabeki kulikua hakuna?

mkuu kwanini huachi mihemko? Yaya toure amekwanda Barca mwaka gani na huo tunaozungumza ni mwka gani?

2005 - 2006
Edmilson, Xavi, Deco, Ronaldonho, Messi, Etoo.
(Iniesta, Van Bommel, Giuly, Larson, Motta walikuwa ni Sub)

2006 - 2007
Xavi, Iniesta, Deco, Ronaldinho, Messi, Etoo
(Edmilson, Guilly, Gudjohson, Motta walikuwa ni Sub)

2007 - 2008
Xavi, Iniesta, Deco, Messi, Etoo, Ronaldonho
(Henry, Toure, Gudjohson, Edmilson walikuwa ni Sub)

Narejea tena acha mihemko kijana.
 
Ake yuko vizuri toka yupo Chelsea, kukosa muda wa kucheza ndio akaomba auzwa akauzwa Bournemouth
Sijakataa kwamba sio kocha bora

Ake yupo vizuriii toka chelsea[emoji23] , bro acha kabisa kutupiga kamba ake hapa alikuwa mdogo sana tunasema anaanza mpira akapelekwa mpaka championship , hapa tunazungumzia kusajiliwa na pep akiwa mchezaji wa kawaida sana ukilinganisha na mabeki wengine wa kipindi hicho hakuwa hata katika mabeki 10 bora wa epl! Ndicho tunachozungumzia hapa!
 
kwanini unakwepa hoja? Rudi kwenye hoja mchezaji aliesajiliwa kwa 70 m anakuwaje kuwa hajulikanwi? au ulikuwa humjui wewe tu?

Wewe ndo huna hoja au hujui unabisha kuhusu hoja ipi , hoja hapa ni je ruben dias mwaka aliosajiliwa kwenda man city alikuwa ni moja ya mabeki bora kwa wakati huo? Top 10 ya best centre back 2020 or top 20 jina la ruben dias lilikuwepo?
 
Usiku wa leo, Inter Milan wanaenda kubeba kombe la UCL mbele ya Man City.

Ile laana ambayo Yahya Toure alimuachia Pep Guardiola, bado inaendelea kufanya kazi.
 
Pesa ni jambo la msingi sana mpirani.Naipa 70%
 
Wewe ndo huna hoja au hujui unabisha kuhusu hoja ipi , hoja hapa ni je ruben dias mwaka aliosajiliwa kwenda man city alikuwa ni moja ya mabeki bora kwa wakati huo? Top 10 ya best centre back 2020 or top 20 jina la ruben dias lilikuwepo?

anasajiliwaje 70 m alafu usiwe katika mabeki bora?
 
anasajiliwaje 70 m alafu usiwe katika mabeki bora?

Pesa si kipimo cha ubora katika mpira wa sasa!!! Maguire na De ligt nani alikuwa bora zaidiii katika mwaka huo na kumbuka wote wamesajiliwa the same season.

Hoja hapa ni kwamba endapo pep angemchukua mwaka huo koulibaly, kimpembe , Marquinhos, upamecano, ramos, de ligt au bonucci hapo ulikuwa na haki ya kusema amesajili beki ambaye tayariii yupo peak!! Lakini kwa ruben dias hapana hakuwa peak!
Mchezaji kuonekana ni kitu cha kawaida huwezi sajiliwa kama huonekani hata sasa hivi unamjua lavia au caicedo haina maana for now ndo best mid in the world lakini wanatarajiwa kuwa hivyo endapo watapata kocha wazuriii sasa leo pep amchukue caicedo then baadae akiwa moto useme alinunuliwa akiwa peak hapana
 
Hiki ni kikosi ulikua unapanga wewe au kocha?
 

Kama Pesa sio kipimo cha Ubora kipimo cha Ubora ni nini?
 
Giuly alitembea sana hii game
 
Sir Alex aliipenda kazi yake na aliweka viwango vya juu kwa kila mchezaji ku archive

Nilikuuliza ni mechi gani toka uanze kufuatilia mpira enzi za fergie ilipendelewa sidhani km utasema

Fergie alijitafuta sana misimu ya mwanzo united alimanusura United iporomoke daraja

 
Ndio nakwambia ferg ndio aliamua kuanza kudevelop Young talents

Kumbuka back in days timu kubwa nyingi zilikuwa zinachukua galacticos ila ferg akaja na standard zake
Pep hajadevelop young players wengi? Hilo suala la rushwa huwa ni hisia tu

Mpira unachezwa hadharani wote tunaona
 
Bayern alyways struggle to win against madrid in any circumstances

Psg has never been a good team but big names

Liverpool under klop play with small squad, remember the incident between ramos and salah, after that everything changed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…