Per Diem
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 2,189
- 3,724
Katika misimu minne ilibidi asisajili kabisa? Alafu zlatan, Sanchez na fabregas hawakuleta impact, project ya kuwatumia ilifeli. Ndio uone tatizo sio kusajili wazuri bali kuwaingiza kwenye mfumoVolume ya usajili haikiwa kubwa? Kusajili wachezaji kama Zlatan, Villa, Alves, Fabregas, Sanchez hao watu unawachukulia powa ama? Barca ndio walikuwa washindani wa Real Madrid kwa sajili kubwa kipindi hicho.