Pep Guardiola anaenda kuleta swali tena kwa mashabiki wa mpira

Unapatikana kijiwe gani cha Gahawa ?!!!!

Unaongelea upendeleo uliza mtu yoyote kwenye premier league atakwambia ni vipi ilikuwa vigumu kupata decisions kutoka kwa referees ukiwa old trafford kutokana na intimidation ya Sir Alex; Sir Alex alikuwa disciplinarian Kipindi kile wachezaji walikuwa na heshima kwa Kocha na wanakusikiliza, pamoja na Caprain Roy Keane (kwahio watu walifuata wanachoambiwa) Karne hii ukiwa mkali kwa hawa wachezaji prima donnas wala hawakusikilizi (kwahio Sir Alex angepata tabu zaidi with these crop of players) na ingekuwa kipindi hiki wala Sir Alex hasingemaliza msimu (angefukuzwa) alivyoanza kazi Man United kidogo ishuke daraja (manager wa sasa hawapewi muda)

Kwa kumalizia Sir Alex was a Displinarian; ila walivyokutana game na Pep sikumbuki hata kama Man U walikuwa na Shot on target
 
Pep hajadevelop young players wengi? Hilo suala la rushwa huwa ni hisia tu

Mpira unachezwa hadharani wote tunaona
 
Barca walikua na hela gani? Mbona ilikuwa bora kuliko hata hii city
Niliweka 2 references:

1. Timu ambayo tayari iko on [emoji91] kiubora kwa kubeba makombe na chemistry nzuri kimpira.

2. Pesa toka kwa Mabosi wa timu husika.

Kigezo no 1 hakimkwepi kabisa Kiparangoto, ukikaza fuvu fatilia timu alizofundisha alizikuta zikiwa katika hali gani kiubora?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ukiwa bora utaenda timu bora. Katika hali ya kawaida tu mfano Leo hii Haaland hawezi kwenda kucheza Leeds United, kwa ubora alionao lazima ataenda Madrid au Bayern au Barca

Ni kama pep, ubora wake ndio unamfanya aende timu bora.

Kuhusu pesa, man utd wametumia pesa nyingi toka pep afike pale city. Mbona utd haijapata mafanikio kuliko city?

Chelsea mwaka huu wamesajili kwa zaidi ya pauni million 500, lakini wameishia kuwa wa 12 kwenye ligi
 
Hao kina Hernandez na messi yeye ndio aliowatengeneza wakawa hivyo. Usione vinaelea

Barca mbele walimtegemea etoo. Pep alikuja na mfumo wa false 9 kwa kumtumia Messi

Hakumhitaji ronaldiho, ndio unaona akawapa nafasi kina iniesta.

Alimkuya yaya you're katikati, akamtoa akamuinua busquets
 
Makocha walioletwa Chelsea FC waliwahi kubeba kombe gani?

Chelsea FC ya 2021 iliyobeba UEFA CL na Man City ipi ilikuwa imetumia pesa nyingi sana kwenye usajili?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kipindi man u inasemwa kununua ma refa who cares
 
Hyo ni class yake aliyoitengeneza ndiyo maana hawezi takiwa na team za kipumbavu sanabu ana misimamo mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…