Pep Guardiola anaenda kuleta swali tena kwa mashabiki wa mpira

Pep Guardiola anaenda kuleta swali tena kwa mashabiki wa mpira

Mkuu bado Sir alex bado atakuwa top may be Pep the second one

Km uefa hata zidane amechukua tatu ndani ya miaka mitano huwezi kusema zidane alivyo bahatisha uefa zile ndio awe bora kuliko Pep kwasababu ya uefa

Sir Alex amehudumia kwenye era zote mbili old na modern football and he concered it all

Remember old football ya ulaya ilijaa rushwa pia zile trophy za madrid nyingi watu wanazi question

Kwenye kitabu cha fagason anamnukuu muasisi wa toto football john cruiffy

Ferguson hutashinda taji la ulaya km hutoi rushwa

Ferguson alijibu km ilinishinde lazima kutoa rushwa basi sitatoa

To me Sir Alex f ni best coach ever kwasababu alidevelop young players na few big signing

Pep is second
Unapatikana kijiwe gani cha Gahawa ?!!!!

Unaongelea upendeleo uliza mtu yoyote kwenye premier league atakwambia ni vipi ilikuwa vigumu kupata decisions kutoka kwa referees ukiwa old trafford kutokana na intimidation ya Sir Alex; Sir Alex alikuwa disciplinarian Kipindi kile wachezaji walikuwa na heshima kwa Kocha na wanakusikiliza, pamoja na Caprain Roy Keane (kwahio watu walifuata wanachoambiwa) Karne hii ukiwa mkali kwa hawa wachezaji prima donnas wala hawakusikilizi (kwahio Sir Alex angepata tabu zaidi with these crop of players) na ingekuwa kipindi hiki wala Sir Alex hasingemaliza msimu (angefukuzwa) alivyoanza kazi Man United kidogo ishuke daraja (manager wa sasa hawapewi muda)

Kwa kumalizia Sir Alex was a Displinarian; ila walivyokutana game na Pep sikumbuki hata kama Man U walikuwa na Shot on target
 
Mkuu bado Sir alex bado atakuwa top may be Pep the second one

Km uefa hata zidane amechukua tatu ndani ya miaka mitano huwezi kusema zidane alivyo bahatisha uefa zile ndio awe bora kuliko Pep kwasababu ya uefa

Sir Alex amehudumia kwenye era zote mbili old na modern football and he concered it all

Remember old football ya ulaya ilijaa rushwa pia zile trophy za madrid nyingi watu wanazi question

Kwenye kitabu cha fagason anamnukuu muasisi wa toto football john cruiffy

Ferguson hutashinda taji la ulaya km hutoi rushwa

Ferguson alijibu km ilinishinde lazima kutoa rushwa basi sitatoa

To me Sir Alex f ni best coach ever kwasababu alidevelop young players na few big signing

Pep is second
Pep hajadevelop young players wengi? Hilo suala la rushwa huwa ni hisia tu

Mpira unachezwa hadharani wote tunaona
 
Barca walikua na hela gani? Mbona ilikuwa bora kuliko hata hii city
Niliweka 2 references:

1. Timu ambayo tayari iko on [emoji91] kiubora kwa kubeba makombe na chemistry nzuri kimpira.

2. Pesa toka kwa Mabosi wa timu husika.

Kigezo no 1 hakimkwepi kabisa Kiparangoto, ukikaza fuvu fatilia timu alizofundisha alizikuta zikiwa katika hali gani kiubora?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ukiwa bora utaenda timu bora. Katika hali ya kawaida tu mfano Leo hii Haaland hawezi kwenda kucheza Leeds United, kwa ubora alionao lazima ataenda Madrid au Bayern au Barca

Ni kama pep, ubora wake ndio unamfanya aende timu bora.

Kuhusu pesa, man utd wametumia pesa nyingi toka pep afike pale city. Mbona utd haijapata mafanikio kuliko city?

Chelsea mwaka huu wamesajili kwa zaidi ya pauni million 500, lakini wameishia kuwa wa 12 kwenye ligi
 
Eddie Howe kwangu ni Bora kuliko pep!!!!

Pep wa kawaida sana !sema kajificha kwenye team zenye fedha na uwezo wa kumchukua mchezaji yeyote anaemtaka!!

Pale Barca pale KWA kizazi kile cha kina hernandez,iniesta na messi nani asingetwaa mataji!!?

Hapo Bayern munich NDIO klabu tajiri kuliko vyote lakini alishindwa kuchukua uefa coz hakua na kina Messi wala iniesta!

Hapo man city ni team inayochukua mchezaji yeyote inayomtaka KWA hio sishangai kama akichukua uefa kwanza amechelewa sana kuchukua alipaswa kuchukua ZAMANI sana!!!

Kocha bora pale epl nadhani ni jurgen klopp KWA maana ya vyote yaani kutengeneza vipaji,team na bajeti ya kuuza na kununua!hiyo kwangu NDIO kocha !

Bora Arteta KWA msimu uliopita kuliko hata huyo pep KWA maana ya coaching na ku develop wachezaji wa kawaida kama kina saka,odergaard,n.k kuliko pep mwenye haaland,gundogan wachezaji ambao ni proven!
Hao kina Hernandez na messi yeye ndio aliowatengeneza wakawa hivyo. Usione vinaelea

Barca mbele walimtegemea etoo. Pep alikuja na mfumo wa false 9 kwa kumtumia Messi

Hakumhitaji ronaldiho, ndio unaona akawapa nafasi kina iniesta.

Alimkuya yaya you're katikati, akamtoa akamuinua busquets
 
Ukiwa bora utaenda timu bora. Katika hali ya kawaida tu mfano Leo hii Haaland hawezi kwenda kucheza Leeds United, kwa ubora alionao lazima ataenda Madrid au Bayern au Barca

Ni kama pep, ubora wake ndio unamfanya aende timu bora.

Kuhusu pesa, man utd wametumia pesa nyingi toka pep afike pale city. Mbona utd haijapata mafanikio kuliko city?

Chelsea mwaka huu wamesajili kwa zaidi ya pauni million 500, lakini wameishia kuwa wa 12 kwenye ligi
Makocha walioletwa Chelsea FC waliwahi kubeba kombe gani?

Chelsea FC ya 2021 iliyobeba UEFA CL na Man City ipi ilikuwa imetumia pesa nyingi sana kwenye usajili?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Weka vivid evidence hapa tangu Pep Kiparangoto aichukue Mwa-City 2016 na Man Utd tujue timu ipi imetumia pesa nyingi kuliko nyingine.

Kwanini Mwa-City ndiyo watuhumiwe na FIFA na FA kutumia pesa nyingi kuliko inavyotakiwa?

Mpaka sasa Mwa-City ina tuhuma za makosa 101 yanachunguzwa na FA, bado tu unaendelea kukaza fuvu? [emoji4]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kipindi man u inasemwa kununua ma refa who cares
 
Niliweka 2 references:

1. Timu ambayo tayari iko on [emoji91] kiubora kwa kubeba makombe na chemistry nzuri kimpira.

2. Pesa toka kwa Mabosi wa timu husika.

Kigezo no 1 hakimkwepi kabisa Kiparangoto, ukikaza fuvu fatilia timu alizofundisha alizikuta zikiwa katika hali gani kiubora?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hyo ni class yake aliyoitengeneza ndiyo maana hawezi takiwa na team za kipumbavu sanabu ana misimamo mno
 
Back
Top Bottom