NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Lakini bado walichukua laliga,pia kizazi kilianza kuchoka ndio maana enrique alimchukua suarez!!Kwani alipoondoka makocha wangapi walio fail Barcelona hadi akaja LUIS ENRIQUE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini bado walichukua laliga,pia kizazi kilianza kuchoka ndio maana enrique alimchukua suarez!!Kwani alipoondoka makocha wangapi walio fail Barcelona hadi akaja LUIS ENRIQUE
Unapatikana kijiwe gani cha Gahawa ?!!!!Mkuu bado Sir alex bado atakuwa top may be Pep the second one
Km uefa hata zidane amechukua tatu ndani ya miaka mitano huwezi kusema zidane alivyo bahatisha uefa zile ndio awe bora kuliko Pep kwasababu ya uefa
Sir Alex amehudumia kwenye era zote mbili old na modern football and he concered it all
Remember old football ya ulaya ilijaa rushwa pia zile trophy za madrid nyingi watu wanazi question
Kwenye kitabu cha fagason anamnukuu muasisi wa toto football john cruiffy
Ferguson hutashinda taji la ulaya km hutoi rushwa
Ferguson alijibu km ilinishinde lazima kutoa rushwa basi sitatoa
To me Sir Alex f ni best coach ever kwasababu alidevelop young players na few big signing
Pep is second
Unajidangaya Diaz ruben ulimjua kabla ya kuja city?
Ni wachezaji gani wa kawaida kwenye hicho kikosi.
Halafu nambie ni wachezaji gani wa city uliwajua kabla ya kusajiliwa hapo.
Nb: hata halland kuna waliokuwa wanasema ni wa kawaida .
Bei yake na magwaya ipi ilikuwa kubwa na yupi alionekana bora?mtu aliyesajila kwa karibu 70 m alafu unasema hakuwa anajulikanwa? kijana vipi umechanganyikiwa au?
Anthony na Julian Alvarez bei zao zikoje na yupi aliongelewa sanaNi mgonjwa wa akili tu anaweza kusema kuwa Halland alikuwa ni mchezaji wa kawaida kabla ya kwenda City.
Pep hajadevelop young players wengi? Hilo suala la rushwa huwa ni hisia tuMkuu bado Sir alex bado atakuwa top may be Pep the second one
Km uefa hata zidane amechukua tatu ndani ya miaka mitano huwezi kusema zidane alivyo bahatisha uefa zile ndio awe bora kuliko Pep kwasababu ya uefa
Sir Alex amehudumia kwenye era zote mbili old na modern football and he concered it all
Remember old football ya ulaya ilijaa rushwa pia zile trophy za madrid nyingi watu wanazi question
Kwenye kitabu cha fagason anamnukuu muasisi wa toto football john cruiffy
Ferguson hutashinda taji la ulaya km hutoi rushwa
Ferguson alijibu km ilinishinde lazima kutoa rushwa basi sitatoa
To me Sir Alex f ni best coach ever kwasababu alidevelop young players na few big signing
Pep is second
Barca walikua na hela gani? Mbona ilikuwa bora kuliko hata hii cityPep bila hela hamfikii ubora hata Kocha Mgunda, hutembelea klabu ambazo tayari zilishafanya vizuri na Mabosi wake humwaga mahela tele kama Waarabu.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Niliweka 2 references:Barca walikua na hela gani? Mbona ilikuwa bora kuliko hata hii city
Ukiwa bora utaenda timu bora. Katika hali ya kawaida tu mfano Leo hii Haaland hawezi kwenda kucheza Leeds United, kwa ubora alionao lazima ataenda Madrid au Bayern au BarcaNiliweka 2 references:
1. Timu ambayo tayari iko on [emoji91] kiubora kwa kubeba makombe na chemistry nzuri kimpira.
2. Pesa toka kwa Mabosi wa timu husika.
Kigezo no 1 hakimkwepi kabisa Kiparangoto, ukikaza fuvu fatilia timu alizofundisha alizikuta zikiwa katika hali gani kiubora?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kaangalie pesa aliyonunuliwa wan bissaka na Maguire.mtu aliyesajila kwa karibu 70 m alafu unasema hakuwa anajulikanwa? kijana vipi umechanganyikiwa au?
Mna utd ilikua na wachezaji wa kawaida?Halafu alitumia wachezaji wa kawaida sana.
Hao kina Hernandez na messi yeye ndio aliowatengeneza wakawa hivyo. Usione vinaeleaEddie Howe kwangu ni Bora kuliko pep!!!!
Pep wa kawaida sana !sema kajificha kwenye team zenye fedha na uwezo wa kumchukua mchezaji yeyote anaemtaka!!
Pale Barca pale KWA kizazi kile cha kina hernandez,iniesta na messi nani asingetwaa mataji!!?
Hapo Bayern munich NDIO klabu tajiri kuliko vyote lakini alishindwa kuchukua uefa coz hakua na kina Messi wala iniesta!
Hapo man city ni team inayochukua mchezaji yeyote inayomtaka KWA hio sishangai kama akichukua uefa kwanza amechelewa sana kuchukua alipaswa kuchukua ZAMANI sana!!!
Kocha bora pale epl nadhani ni jurgen klopp KWA maana ya vyote yaani kutengeneza vipaji,team na bajeti ya kuuza na kununua!hiyo kwangu NDIO kocha !
Bora Arteta KWA msimu uliopita kuliko hata huyo pep KWA maana ya coaching na ku develop wachezaji wa kawaida kama kina saka,odergaard,n.k kuliko pep mwenye haaland,gundogan wachezaji ambao ni proven!
Man utd mbona ina mabeki watano? Mnafanya vizuri?Center Back wa Man City pekee wako watano wote, Je watakosa vipi kucheza vizuri ilihali wapo wengi namna hiyo?
Pesa, pesa, pesa.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Makocha walioletwa Chelsea FC waliwahi kubeba kombe gani?Ukiwa bora utaenda timu bora. Katika hali ya kawaida tu mfano Leo hii Haaland hawezi kwenda kucheza Leeds United, kwa ubora alionao lazima ataenda Madrid au Bayern au Barca
Ni kama pep, ubora wake ndio unamfanya aende timu bora.
Kuhusu pesa, man utd wametumia pesa nyingi toka pep afike pale city. Mbona utd haijapata mafanikio kuliko city?
Chelsea mwaka huu wamesajili kwa zaidi ya pauni million 500, lakini wameishia kuwa wa 12 kwenye ligi
Kipindi man u inasemwa kununua ma refa who caresWeka vivid evidence hapa tangu Pep Kiparangoto aichukue Mwa-City 2016 na Man Utd tujue timu ipi imetumia pesa nyingi kuliko nyingine.
Kwanini Mwa-City ndiyo watuhumiwe na FIFA na FA kutumia pesa nyingi kuliko inavyotakiwa?
Mpaka sasa Mwa-City ina tuhuma za makosa 101 yanachunguzwa na FA, bado tu unaendelea kukaza fuvu? [emoji4]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kabisa, Pep ana kipaji cha kufundisha soka na akili kubwa ya mpira.Pep anabaki kuwa kocha bora saana, kwa soka analofundisha.. kibabu fergie huenda tukampa heshima ya meneja mzuri ama bora.
Hyo ni class yake aliyoitengeneza ndiyo maana hawezi takiwa na team za kipumbavu sanabu ana misimamo mnoNiliweka 2 references: