Pep Guardiola anaenda kuleta swali tena kwa mashabiki wa mpira

Malacia

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sasa huyu si ni sawa na sergio gomez tu! Hakuna timu isiyotoa hela kwasasa .
Pep anaonekana genius on how he approach the game, bernado silva anacheza left back na anaupiga mwingi tu, stones ametoka everton the way anavyocheza under pep ni tofauti kabisa na angecheza under coach yeyote yule. Pep is a genius !
Ake akanji na laporte wamekuja kama normal players wote hata rodri the way anavyocheza saivi ni tofautiii na alivyokuwa anacheza under simeone !!
 

Kama hii hataelewa basi haina haja tena ya kumuelewesha!
Pep kafika katangaza kabisa gaucho, etoo na deco hawapo kwenye plan zake ila baadae akabaki etoo pep akasema ni kutokana na jitihada za kujituma za etoo ndo maana kabaki!
Pep kamchukua busquets toka barca b na pedro akamchukua keita lakini watu wanakuambia ni mbaguzi[emoji23]
Pep kaenda man city katangaza tena kuwa nasri, hart , clichy na sagna hawapo kwenye mpango wake .
Timu hii ya sasa kaunda yote yeye lakini mtu anakwambia hata akipewa hii man city anachukua mataji hajui kuwa hii man city imeundwa na pep mwenywe
 
Bange tu
 
Ferguson kwangu sio kocha bora.

- Wakati wake ushindani ulikuwa mdogo, alikuwa anapata challenge kutoka kwa Arsenal ya Wenger pekee.

- Alikuwa na uwezo mkubwa wa kiuchumi, Man Utd ilikuwa na uwezo wa kumsajili mchezaji yeyote mzuri inayomuona toka timu pinzani, kama Berbatov toka Spurz, na Rooney toka Everton, hivyo kuwapunguza nguvu washindani wake.

- Fitna na Uingereza wake, alikuwa ana influence mpaka kwa marefa, na chama chao cha mpira.
 
Kuna watu hamna aibu kabisa.
 
Ahahaaaaah!
Kuna mtu nimeona amesema Eddie Howe ni kocha bora kumzidi Pep.
Mtu wa aina hii hakuna kitu utamuambia atakuelewa.
 
Hivi unamlinganishaje MTU aliyefundisha vilabu 3 tofauti kwa Nchi 3 tofauti na kumlinganisha na MTU aliyefundisha club mmoja tu tena ya Nchi mmoja.
Its madness
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…