FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Tunaona alimsoma Man city EtihadHawa ndio tunawaita walimu wa mpira. Anceloti ni mzuri saana kwa kumsoma mpinzani na kukabiliana nae.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaona alimsoma Man city EtihadHawa ndio tunawaita walimu wa mpira. Anceloti ni mzuri saana kwa kumsoma mpinzani na kukabiliana nae.
MalaciaNitajie mchezaji pia wa man utd ambae ni chini ya pound milion 40 ? Ipo man utd , chelsea na hata arsenal recent!! Maguire kanunuliwa bei gani? Laporte stones bei gani ? Pogba bei gani na Gundogan bei gani? Pepe bei gani na bernado silva bei gani? Anthony bei gani na sancho bei gani?
Jose Mourinho ndio baba lao, huyu mwamba Hakuna taji ambalo hajashinda
Pep hakumkuta ronaldinho pale Barca, ronaldinho akiondoka mwaka huo ambao pep ndio alianza na Barca. Uwe mfatiliaji
Etoo amekaa na pep msimu mmoja tu, akaachana nae. Wengi walibeza pep kumuacha etoo, lakini alikua anajua nini anafanya.
Barca kabla ya pep ilikua na utawala wa Ronaldinho, Etoo na Deco. Lakini pep alivyofika alitengeneza wake Xavi, iniesta na Messi.
Pep pale Barca alipenda kutumia zaidi youngsters wa la masia, ndio maana unaona hata kwenye beki wa Kati alimtumia pique na kuachana na Marquez, kwenye kiungo wa chini alimuinua busquets na kuchana na Yaya toure
Pembeni alimuinua pedro
Bange tuKama hii hataelewa basi haina haja tena ya kumuelewesha!
Pep kafika katangaza kabisa gaucho, etoo na deco hawapo kwenye plan zake ila baadae akabaki etoo pep akasema ni kutokana na jitihada za kujituma za etoo ndo maana kabaki!
Pep kamchukua busquets toka barca b na pedro akamchukua keita lakini watu wanakuambia ni mbaguzi[emoji23]
Pep kaenda man city katangaza tena kuwa nasri, hart , clichy na sagna hawapo kwenye mpango wake .
Timu hii ya sasa kaunda yote yeye lakini mtu anakwambia hata akipewa hii man city anachukua mataji hajui kuwa hii man city imeundwa na pep mwenywe
ChelseaWanakaza tu mafuvu ila ukweli wanaujua vizuri sana tu hao Mashabiki wa Man City
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Akili wakati zinagawiwa sikuwepo.Mchezaji gani wa kawaida, una akili wewe ? Nitajie mchezaji wa kawaida kwa kikosi kile?
Sababu gani hii ya kitoto?!Center Back wa Man City pekee wako watano wote, Je watakosa vipi kucheza vizuri ilihali wapo wengi namna hiyo?
Pesa, pesa, pesa.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Ferguson kwangu sio kocha bora.Mkuu bado Sir alex bado atakuwa top may be Pep the second one
Km uefa hata zidane amechukua tatu ndani ya miaka mitano huwezi kusema zidane alivyo bahatisha uefa zile ndio awe bora kuliko Pep kwasababu ya uefa
Sir Alex amehudumia kwenye era zote mbili old na modern football and he concered it all
Remember old football ya ulaya ilijaa rushwa pia zile trophy za madrid nyingi watu wanazi question
Kwenye kitabu cha fagason anamnukuu muasisi wa toto football john cruiffy
Ferguson hutashinda taji la ulaya km hutoi rushwa
Ferguson alijibu km ilinishinde lazima kutoa rushwa basi sitatoa
To me Sir Alex f ni best coach ever kwasababu alidevelop young players na few big signing
Pep is second
Samahani Chifu nilisahau kuwa najibizana na Mtu toka klabu ile ya Makolokolo.Sababu gani hii ya kitoto?!
Kama issue ni kuwa na center backs watano basi kila timu ikasajili CB watano!.
Kuna watu hamna aibu kabisa.5 ni rekodi inayoshikiliwa na Chelsea FC EPL.
6. Tayari Arsepimbi walishakuwa nayo EPL kitambo sana.
Hakuna kipya zaidi ya kuendelea kutumia mapesa tu
Tusichoshane, mpende wewe Kiparangoto wako si lazima tumpende wote ila Klopp ni bora mara 10 zaidi kuliko Pep, nimemaliza.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Julian Alvarez...Hivi Kuna club wanavunja bank kama man city, hapo Kuna mchezaji chini ya pound milioni 35? Labda akanji tu, nitajie mchezaji hapo ambao hawajatoa zaidi ya pound milioni 40?
Possibility ni kubwa au imani yako ni kubwa?possibility n kubwa Guardiola atapigwa kwenye hii mechi.
Very GeniusPep is the Genius.
Ahahaaaaah!Pep hakumkuta ronaldinho pale Barca, ronaldinho akiondoka mwaka huo ambao pep ndio alianza na Barca. Uwe mfatiliaji
Etoo amekaa na pep msimu mmoja tu, akaachana nae. Wengi walibeza pep kumuacha etoo, lakini alikua anajua nini anafanya.
Barca kabla ya pep ilikua na utawala wa Ronaldinho, Etoo na Deco. Lakini pep alivyofika alitengeneza wake Xavi, iniesta na Messi.
Pep pale Barca alipenda kutumia zaidi youngsters wa la masia, ndio maana unaona hata kwenye beki wa Kati alimtumia pique na kuachana na Marquez, kwenye kiungo wa chini alimuinua busquets na kuchana na Yaya toure
Pembeni alimuinua pedro
Ujinga wake ndiyo una iyo imaniPossibility ni kubwa au imani yako ni kubwa?
Hivi unamlinganishaje MTU aliyefundisha vilabu 3 tofauti kwa Nchi 3 tofauti na kumlinganisha na MTU aliyefundisha club mmoja tu tena ya Nchi mmoja.Mkuu bado Sir alex bado atakuwa top may be Pep the second one
Km uefa hata zidane amechukua tatu ndani ya miaka mitano huwezi kusema zidane alivyo bahatisha uefa zile ndio awe bora kuliko Pep kwasababu ya uefa
Sir Alex amehudumia kwenye era zote mbili old na modern football and he concered it all
Remember old football ya ulaya ilijaa rushwa pia zile trophy za madrid nyingi watu wanazi question
Kwenye kitabu cha fagason anamnukuu muasisi wa toto football john cruiffy
Ferguson hutashinda taji la ulaya km hutoi rushwa
Ferguson alijibu km ilinishinde lazima kutoa rushwa basi sitatoa
To me Sir Alex f ni best coach ever kwasababu alidevelop young players na few big signing
Pep is second
Bei yake na magwaya ipi ilikuwa kubwa na yupi alionekana bora?
Barca walikua na hela gani? Mbona ilikuwa bora kuliko hata hii city