Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

Ila ipo moja inaitwa Federico Mahora FM iko safi sana nayo tena haivuki laki na nusu ni nzuri sana ipo kwenye kichupa cha blue nakumbuka kuna wakati bi mkubwa aliniletea nikaidharau ila siku nikaishiwa unyunyu ile kuipiga nikaona nzuri na inakaa sana kwa mwili aisee na iko cool sio kama ukipiga zile za bei flani ndogo kidogo.
 
Ni perfume gani ya kiume ambayo harufu yake huwa inawavutia sana wakina dada?

Use miyak, sikumbuki inaandikwaje ila hii perfume iliniachanisha kwa mjamaa aliyetaka kunioa nikamfata, nikiwa field yeye ni afisa hapo ofcn. Yaani nakiri nilivua sketi na kila kitu cha ndani. Perfume tuu, siku hizi sijui kama bado IPO.
 
Use miyak, sikumbuki inaandikwaje ila hii perfume iliniachanisha kwa mjamaa aliyetaka kunioa nikamfata, nikiwa field yeye ni afisa hapo ofcn. Yaani nakiri nilivua sketi na kila kitu cha ndani. Perfume tuu, siku hizi sijui kama bado IPO.
Makubwa.....Kwa hali hiyo Ngoja nami niijaribu hiyo huenda nami Nikaopoa wawili watatu
 
Hakuna prrfume kali km harufu ya kikwapa mabinti wanazuzuka sana
 
Kulsoom unachanganya na Gift of Zanzibar piga ua siku hiyo lazima ulale na jini
 
Asilimia kubwa ya watu wanao tumia perfumes ni wachafu (hawapendi kuoga) pia ni watu wasio jiamini kwan ikitokea siku hajaitumia hawezi kuwa huru.
 

ha ha ha ha ha ha haaaaaaa daaaah hii kali.
 
Mie natumia hii mkuu!!
 

Attachments

  • IMG_20150701_153815.jpg
    110.3 KB · Views: 461
cologne inayoitwa Creed, utachagua ipi inakuvutia itashinda utalala utaamka bado ipo nawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…