Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

Hahah harufu ya Pimbu ndo yenyewe.... Kwanza akisikia anazimia then unajilia vyako... Aiku nyingine atakuja tena kuhakikisha ile aliyoiskia ni harufu au then mchezo unarudia
 

my best smell ever and ever
 

Attachments

  • 1441307791712.jpg
    21.7 KB · Views: 771
Yaa
Kiukweli napenda mwanaume anukie! Yaani ht akiwa anakuja najua he s coming, nishasikis ile cologne na si nyingine ni isimiaki/isymiaki.am nt sure na spelling!!!!

Akinisogelea/akinikumbatia baaaaas
so perfum tano bora ni zipi?
 
mie natumia deodarant ya Gillette na unyunyu yatchman chocolate uwa mabinti wanauliza kwa kweli nimewanyoosha upande wa kunukia
 
kitu mafuta ya yolanda enzi hizo 1985
Yaah yolanda na ayu hapo pia kulikuwa na viperemende flan hivi vya mviringo unavitupa penye sanduku lako la chuma aah umemaliza.
Maisha yamekuwa ghali sana sababu ya uigizaji(uzungu).
 
Perfume ni nini?
Body Spray ni nini?
Cologne ni nini?
Fragrance ni nini?
Deodorant ni nini?


Tunaweza fikiri tunayoyajua kila mtu anayajua
so kwa faida ya wengi tuanze na hapo....
wise yu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…