Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

Unaamanisha laki2... hahaaaaa hata Heaven on earth akinizawadia nitaiuza hata kwa laki1. Huo utakuwa wehu

Siwezi fanya upuuzi huo asilani.Perfume/spray yangu ya KNOWLEDGE ni 5000 tu.

uko sahihi kabisa maanake hata magari kuna wanaonunua milioni 7 na wanaonunua milioni 200......
 
Unaamanisha laki2... hahaaaaa hata Heaven on earth akinizawadia nitaiuza hata kwa laki1. Huo utakuwa wehu

Siwezi fanya upuuzi huo asilani.Perfume/spray yangu ya KNOWLEDGE ni 5000 tu.

Sio lazima wote mtumie za laki 2...wakati we unaona bora ya 5000 kuna mwingine ye

kwake bora ile ya 500..Pesa kazi yake nini..ndo mtumizi kama hayo
 
Ndugu watakushaur sana ila wanapenda sana harufu ya pesa hizo nyingine mbwembwe tuu
 
Unaogopa 20000 tu?Tembea mkuu uone dunia!Nenda Sunpharm Pharmacy Mza uone perfume za zaidi ya laki mbili!Na wengine muishio Dar mwambieni huyu ndugu kwani anachekesha...

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

kwa Dsm pale JD pharmacy-harbour view kuna mizigo mikali ila ukitaka mizigo ya ukweli ukisafiri au ukipata mtu anasafiri majuu,duty free ndio mpango mzima...
 
Harufu zingine zinaleta hadi Nyumonia
 
uploadfromtaptalk1382187565737.jpg

Prince gentleman
 
Unaamanisha laki2... hahaaaaa hata Heaven on earth akinizawadia nitaiuza hata kwa laki1. Huo utakuwa wehu
Siwezi fanya upuuzi huo asilani.Perfume/spray yangu ya KNOWLEDGE ni 5000 tu.

Spray ya buku tano mkuu duhh??,,,but ivi vitu kama nilivosema awali vinaanzia na background na exposure ya aya mambo....mie koloni yangu ya chini saaana ni laki..na siwezi kuwa nayo moja tu ndani,lazima niwe na variation..
 
Last edited by a moderator:
Pefrumed deodarant body splay ni nini.

Pour Homme ni nini.
 
Mmmmh.......hata eau de Rasasi imepanda bei......ni 15,000 sasa hivi......

Hivi kuna perfume ya maana inaweza kuwa chini ya dola 20 kwa walau 25ml??

Mie nilizooea inabidi ufumbe macho kabla ya kutoa mkwanja..lol!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom