Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

Mwanaume kunuka jasho...kunukia achia wanawake

mambo ya kibeberu beberu siyo....
lt+mfw+two+of+my+comments+gets+100++thumbs+and+one+_0928be8fd868f481c21578b196888ecc.jpg
 
mi napenda kusikia HARUFU YA DOLLAR

HIYO SIJUI UTURI NI MBWEMBWE
 
Mm kuna kitu Wanaume wanakiita "Double Chick Magnet"(L'Homme) hii ukiipaka waweza kumgegeda Demu yoyote, kwani wakiisikia tu harufu yake nia kama Mbwa na Chatu.

Hii kitu ni Balaa kwa kunukia Utamu sema sasa ishu iko kwenye Bei yake. Nliinunua Addis Ababa Duty Free Shop($95/- 100mls) ila ukifanikiwa kuwa nayo, ni salute kila mwanamke atakaye katisha Mbele yako, hata kama una Sura ya P, utashangaa anakukodolea Macho asiamini kama huo utamu unao vuma unatokea kwako.
 
Tumia product ya Dior. Perfumes zake bab kubwa. Lkn na bei mmhu. Tayarisha laki 3 au 4 kwa perfume.

Docle & gabbana pia wazuri
Gucci pia wazuri
Estee lauder pia wazuri
212 New York pia wazuri. Nk

Hapa kwenye Dolce&gabbana, ndipo nilipo, sina hakika kama ntakuja badilisha.
 
Mm kuna kitu Wanaume wanakiita "Double Chick Magnet"(L'Homme) hii ukiipaka waweza kumgegeda Demu yoyote, kwani wakiisikia tu harufu yake nia kama Mbwa na Chatu.

Hii kitu ni Balaa kwa kunukia Utamu sema sasa ishu iko kwenye Bei yake. Nliinunua Addis Ababa Duty Free Shop($95/- 100mls) ila ukifanikiwa kuwa nayo, ni salute kila mwanamke atakaye katisha Mbele yako, hata kama una Sura ya P, utashangaa anakukodolea Macho asiamini kama huo utamu unao vuma unatokea kwako.

Misifa hiyo. Ina maana tukiitaka na sisi tuifate huko Uabeshi. Tuambie kwa Masawe inapatikana?
 
Back
Top Bottom