the great wizard
JF-Expert Member
- Dec 21, 2015
- 1,482
- 889
nakuja keshoZipo za kutosha,
Assassin Creed, dead pool, gta3, na V, the punisher, Spider-Man, mission impossible, call of duty, call of duty watch dog, na mengine kibao NFS2, Fifa, resident evil, GTA grand thief etc etc
Kwa wale wapenzi wa game za mpira kwenye pc karibuni tujumuikeni hapa hasa kwa wale wa pc na hata console pia sio mbaya. Lengo ni kupeana mambo kama yafuatayo-:
Latest patch (update transifer,kit,faces etc)
Tricks na mengineyo mengi.
Binafsi kwa sasa nacheza zaidi pes 2017( Nimeupdate next season 2018-2019.) Hii ni kutokana na kuwa ni jepesi na zuri kwa graphics. Likihitaji processor ya 2 duo, 1gb ram na mb512 vram.(gpu)
Kama umekwama mahali, tatizo lolote uliza hapa wadau tukujibu.
Nb:Game kwetu burudani kama burudani zingine.
Welcomenakuja kesho
KAKA... NIPE SITE ulipolitoa kaka ninashida nalo hilo
hii pc haifai mkuuWakuu pc yangu hiii naweza weka mzigo upi ukarun bila shidaa[emoji116] [emoji116] View attachment 830523
nadhani fifa 14 utarun vizuri pia need for speed most wanted2012. litakubaliWakuu nina computer spec zake zipo kwenye hyo picha. Nataka kuweka fifa na need for speed. Ushauri wenu ipi itanifaa?
View attachment 829759
Download DirectX End-User Runtime Web Installer from Official Microsoft Download Centerm
mkuu nimekwama kwa diect x kutofanya vizuri naomba link ya direct x nzuri niidownload
Naomba link ya recently patch ya fifa 14 mkuuPatch nu update. Yani mfano kila msimu mpya kunaongezwa wachezaji wapya. Jezi mpya za msimu. Transifer & etc. Muonekano mpya vitu kama score board na start screen.
Nilidownload fifa 14 na patch latest kabisa ya mwezi huu. Gb 2.7Naomba link ya recently patch ya fifa 14 mkuu
Kwann mkuu??hii pc haifai mkuu
Daah hata za 2011 huko hazitarun?Uwezo wa hiyo pc mdogo mno.