Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

Elfu kumi tu napata kw shida
Jamaa wanamwaga hela zinakaa begi kubwa😂😂😂😂😂😂😂🙌
Ah Kotoro mmeweza,,mkaweza tena
Basi tu kwavile wameamua kuacha record ila watu wana pesa basi tu wengi hawajiachii! Kuna sehemu nilikuwa nafanya kazi, mama mmoja alikuja huwezi hata kumdhaniya alininunua bidhaa za mil 100!
 
Hakuna cha ajabu hapa. Mnaijua net worth ya mtoa zawadi?

Ukitaka kuyaangalia mambo kwa usahihi yaweke kwenye context sahihi. Consider them in relative terms, not absolute terms!

Mtu ambaye net worth yake ni TZS 5 million akitoa zawadi ya TZS 1 million (20% ya net worth yake) atakuwa ametisha kuliko mtu mwingine mwenye net worth ya TZS 25 billion aliyetoa zawadi ya TZS 2.5 billion (10% ya net worth yake)!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…