GemMaster II
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 3,599
- 11,307
Yupo mmoja humu namjua ni don haswa ila low key haswa.Unataka kunambia hao matajiri wa katoro hakuna hata mmoja mwenye akaunti jf? Hakosekani hata mmoja ila uwezo wa kuzurula kila uzi humu ndo atakua hana sababu wapo busy
Electronics,lodge kali,money point,nguo,restaurant quality nimekaa mgodin hizi biashara nimeona zinatembea mno.eneo hilo ukitaka kuwekeza
kuna wapi na wap
yaani namaanisha uwekeze kwenye nini sio direct kwenye madini
hapana biashara ipi inazunguka mtu akienda huko
hapa naona tunadiscus tu ela zao
inabidi tudiscus pia unaweza enda ukawekeza nn huko
???Hizo harusi ni biashara hapo biharusi na mmewe wanagawiqa kidogo tu ndio
electronics specifyElectronics,lodge kali,money point,nguo,restaurant quality nimekaa mgodin hizi biashara nimeona zinatembea mno.
Humu jf watu wenye hela wapo wengi ila hawana kelele kama sisi masikini.Yupo mmoja humu namjua ni don haswa ila low key haswa.
Ningekuwa mimi ndio AlikibaKabisa!!
Umasikini upo Sehemu zoteHalafu huko kanda ya ziwa ndio kuna umasikini wa kufa mtu.
Dar gari mbili tu ya tajiri Fulani mmoja mbweni hizo. 15Wenye hela hawanaga kelele, njoo dar
Huyu wateja atapata siunaona body kinanda hii
Wamenuna😁,pesa zake anatumia atakavyo.Mtoto wa bilionea
Anashuka na Helicopter ukumbini
Hataki mtoto akanyage chini,,anapaa angani.
Aaah
Kaweza
Hadi watu wa Dar wamekuja na makasiriko, wakati Mzee wa watu hashindani na Yeyote.
Unamshauri mwenye pesaWamenuna😁,pesa zake anatumia atakavyo.
Wao wanamshauri ajengee Kijiji,hiyo government yao yenyewe unaitumia pesa zao watakavyo wao.
Si unawajua wabongo Kwa ushauri😁😁,Unamshauri mwenye pesa
Kwani kwenye kutafuta walimsaidia 😄
Acha watumie bana watakavyo
Ova
Tena pale alitakiwa wapande tena helicopterSi unawajua wabongo Kwa ushauri😁😁,
Wanamshauri aijenge katoro,raia bhana🙌
Huo ndio ushamba sasa tunaousema.watu wenye pesa hawana huo ushambaTena pale alitakiwa wapande tena helicopter
Na warushe fedha chini watu wazigombanie 😄
Nmemkumbuka askofu alivyopiga hela merererani
Alikuwa ana rusha hela kutoka juu mpaka chini 😄
Ova
Watu wangeumizana kugombea pesaTena pale alitakiwa wapande tena helicopter
Na warushe fedha chini watu wazigombanie 😄
Nmemkumbuka askofu alivyopiga hela merererani
Alikuwa ana rusha hela kutoka juu mpaka chini 😄
Ova