Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

Huko sio Kwa kukaa kizembe eeh
 
Huko sio Kwa kukaa kizembe eeh
Hirizi zimetapakaa, mwilini, balaa na ukizubaa unaondolewa, kisa kingine hiki hapa, Kuna dogo ni ndugu yangu Kwa mjomba wangu yani upande wa mama, huyu dogo alienda machimboni akawa ana piga kazi kwenye shimo Fulani, baadae akirudi kusalimu nyumbani kabla hajarudi hufanya mambo Fulani kujiweka sawa, ebhanaa EEH akatonywa na baba yake naye ni mastar kuwa usirudi hukoo, tulia.

Baadae ndo akaambiwa yule mwenye duara alikua amepanga kuwa zika shimoni ili kutoa kafara yani taarifa inarolewa duara limeanguka kumbe mwenye duara katoa zindiko japo si wote
 
Mambo ya giza ni mengi
 
Aisee,noma sana.
 
Ostadh mpka anapewa dili ina maana ndio michongo yake hiyo sasa ana shangaa nn
 
Mimi natokea Kahama, kuna mzee anaitwa Ndegesera asset zake zina Zaidi ya Bilioni 400 TZS

Katoro, Kahama, Msasa kuna madogo yanamiliki LX 300 za kisasa.

Mtu kupata Bilioni 6 za dhahabu ni kugusa tu. Kinachowaharibia ni Wanawake.
Unataka kusema wanawake wanateketeza hizo bil 6?
Shida sio wanawake shida ni akili za kishamba.
Umepata bil 6 kukodi v8 yote 20 ya kazi gani?
 
Ostadh mpka anapewa dili ina maana ndio michongo yake hiyo sasa ana shangaa nn
Hapana sio michongo yake Iko hivi, ostadhi na mlengwa walikua washikaji, sasa wauwaji wakamtumia ostadhi, kama chambo, yani yeye amchukue mshikaji wake amlete saiti watu wapite nae, yani yeye hauui ila ni kama anamleta mwenzake kwenye mikono ya wauwaji, sasa ostadhi akupendezwa japo aliahidiwa pesa akaona ili kumlinda mwana aende polisi mwana apewe ulinzi kumbe aaliko kimbilia ndo Kwa wenyewe, ostadhi alikimbiako kuondoka kabisaporini😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…