Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

Jamaa wa Singapore ndo nani? Ama unamaanisha Dr ibra chenza PhD

RRONDO King Kong III

adriz de mbusii
 
Halafu mtu analipa "motivational speaker" ili ahamasishwe kutafuta pesa!

BTW: Jana nimepishana na LC300 VX-R halafu namba A tena kibao cheupe! Imagine.

Wakati wewe unahaha u-upgrade kwenda namba E,kuna muhuni kapachika A gari la 2021.😀
 
Kule wana hela ila ni washambaa wa mbususu safi, mfano yule demu wa yule content creator, alitaka kuhongwa milioni kumi na tano, na jamaa wa kahama huko cha kushangaza, huyo jamaa hata hajawahi MUONA live ni Instagram tu, haya yule dogo alie rusha milioni 25 kwa AJILI ya watoto yatima? Naye ni WA Kanda ya ziwa sijui mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…