Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Acha na mimi nikajaribu maisha huko aisee,Jamani cha ajabu kuna watu wanaishi huko na ni masikini wa kutupa😂
Nataka kuishi Katoro 🔥🔥Katoro kamji kadogo ila pesa kama yote
Hapana, Kuna primary na secondary. Eneo Moja ila primary ipo chini huku administration alafu unapanda juu kwenye fence Moja hiyo hiyo unakuta sec ni kama vi mita 70 tu YANI eneo Moja ila level tofauti, sijui Kwa sasa na siku sana sija kanyaga hapo, Kwa pembeni miaka hiyo kulikuaa na mjaluo mweusi tii alikua ameoa demu mhindi mzuri balaa chombo haswaOoh hapo sawa! Green view si primary hiyo?
ni kweli katoro biashara ni hot na ushindan sokoni ni mkali sanaKinacho nishangaza katoro biashara zipo hot kuliko geita mjini, mtihani huu
Usijaribu kwenda kichwa kichwa huko kafara nje nje, si tumezaliwa huko si kila anae Fanya madini kitajirika wengi wanasota miaka nenda Rudi hollaAcha na mimi nikajaribu maisha huko aisee,
Huyo Gsm nimeanza kumuona miezi ya nyuma. Ukiacha hii ya leo
Ahh
Jamaa ana pesa jamani.
Unaumia kweliNilifikiri ni uchimbaji wa mafuta na gesi
Mimi ndio namuona sasa anayo pesa kwakweli! Kuna dogo mmoja hivi yuko tiktok anaitwa mongo kina dotto huwa wanamuabudu, dogo anayo pesa mamaaeeer!🙌🏾Acha na mimi nikajaribu maisha huko aisee,
Huyo Gsm nimeanza kumuona miezi ya nyuma. Ukiacha hii ya leo
Ahh
Jamaa ana pesa jamani.
Nilikuwa nawapima,aisee watu wametoa povu😁😁😁,Ulikuwa unawapima upepo sio😂
Hapo wanajisemea utakuwa hawara wa bwn harusi😅
Hapo kwa mjaluo sijaelewa kitu! Mimi nilijua we uko zanzibar kumbe wa kokaya ghete!Hapana, Kuna primary na secondary. Eneo Moja ila primary ipo chini huku administration alafu unapanda juu kwenye fence Moja hiyo hiyo unakuta sec ni kama vi mita 70 tu YANI eneo Moja ila level tofauti, sijui Kwa sasa na siku sana sija kanyaga hapo, Kwa pembeni miaka hiyo kupikia na mjaluo mweusi tii alikua ameoa demu mhindi mzuri balaa chombo haswa
Unaambiwa watu wame cancell harusi zao ili tu wasihaibike, kamati imetoa bilioni Moja na mamilioni we ifanye harusi kamati ina toa kiwanja cha laki nane na tv utajisikiajeMedia zote,zimechafukwa na katoro😁😁,
Kuna video Moja ya bi harusi mtarajiwa,nilicomment makusudi kuwa,(Haina maajabu)weeeeeeh nimepopolewa😁😁, nikajisemea simjibu mtu.
Hapa mpaka walifukuzwa wanatoa tu pesa aisee!😅🙌🏾
Vijiji vyote vya jirani, migodi nk huja kununua katoro, ni mipango tu ya serikali zetu hizi mtihani sana ila sehemu kama katoro ilitakiwa ipangiliwe mapema kabla haijajaani kweli katoro biashara ni hot na ushindan sokoni ni mkali sana
Ni kama vile huko katoro mmeishi nyie peke yenu eti?? Acheni uongo, kweli katoto ilingane na dar kwa bata 😃😃😃kwahiyo laki 6 nayo ni pesa ya kutetemeshea bar!!! Hapo babati tu wanakula bata katoro mkalaleWatu wa dar mna ka wivu fulani hivi, bata wanazokula watu kanda ya ziwa zinawauma sana 😏😏😏, dar mtu kwenda na laki mbili bar mpaka bendi inamtaja wakati huo huo mwembeni bar kakola mtu kuteketeza 600k kwenye mtungi ni kawaida na siyo mmoja na mara moja
Ndio nipo Zanzibar, hii ni zamani kipindi nasoma hapo, pembeni kulikua na mjaluo mwanaume mweusi tii, jamaa alikua na pesa bweni letu ilikua mali yake kapangishia shule, mkewe ana duka Sahara miaka hiyo, huyo mhindiHapo kwa mjaluo sijaelewa kitu! Mimi nilijua we uko zanzibar kumbe wa kokaya ghete!
Mc Nsena huwa anampost sanaMimi ndio namuona sasa anayo pesa kwakweli! Kuna dogo mmoja hivi yuko tiktok anaitwa mongo kina dotto huwa wanamuabudu, dogo anayo pesa mamaaeeer!🙌🏾
Ooh hapo sawa! Haya we pamabana kwa mama kizimkaziNdio nipo Zanzibar, hii ni zamani kipindi nasoma hapo, pembeni kulikua na mjaluo mwanaume mweusi tii, jamaa alikua na pesa bweni letu ilikua mali yake kapangishia shule, mkewe ana duka Sahara miaka hiyo, huyo mhindi
Hapana Barbara ipo just for fun tu,Yaani sijaelewa,kwani kuna shida gani?
Kwamba helicopter imemfuata bibi harusi kwao Katoro?sijaelewa yani ni barabara ya kwenda nyumbani kwa bibi harusi haipitiki au?
Hmm masifa hayo sasa aisee! Sema wengine ni ibada hizo nyie mnajua anajitoa tu, pesa zina mambo nyie😅Mc Nsena huwa anampost sana
Jamaa ni anafanya kufuru maharusini huko.
Alimtuma Nsena kijijini kwake
Apeleke hela za Msikitini na Kanisani.
Sasa huko kijijini kwake tu ameporomosha majumba ni balaa 😂😂
Naenda kufanya biashara zanguUsijaribu kwenda kichwa kichwa huko kafara nje nje, si tumezaliwa huko si kila anae Fanya madini kitajirika wengi wanasota miaka nenda Rudi holla