Pesa haziokotwi! Mpira wetu bado haulipi kihivyo. Mo kakata moto, GSM anajuta

Heshima kwa Mo na Azam kupaisha soka la tz. GSM mwepesi ... mwaka mmoja tu ulimi nje, kajaza retirees & free agents Utopolo, mbaya zaidi anashindwa hata kugharimia pre season
 
Siku timu zikimilikiwa na wafanyabiashara kwa hata asilimia 60 basi wawekezaji wengi watazikimbilia Simba na Yanga. Sasa hivi kuziendesha hizo timu ni pasua kichwa kwasababu ya hao wanaoitwa wanachama. Mtu kama Mzee Mpili hakutakiwa awe anasema lolote juu ya Yanga.. yaani abaki kama shabiki tu. Yanga na Simba ni biashara kubwa mno kwa sababu ya uhakika wa wateja ambao ni mamilioni ya watu.
 
Yule mzee njaa tu ilikuwa inamsimbua,nadikia kapewa tuhela kaambiwa atulie
 
Heshima kwa Mo na Azam kupaisha soka la tz. GSM mwepesi ... mwaka mmoja tu ulimi nje, kajaza retirees & free agents Utopolo, mbaya zaidi anashindwa hata kugharimia pre season
Kabisa mkuu na hivi kaingia jikoni mwenyewe kupitia kwa Hersi watazidi kuwa bahiri hakuna wa kumwambia kitu
 
Washabiki ni waswahili hawana hata Mia,ingetakiwa angalau kila mshabiki nchi nzima awe angalau ana kadi anayoilipia angalau buku 10 kwa mwaka.wangekua na mapato kibao

Washabiki wanywa kahaw,kazi hawafanyi kazi kugombanisha viongozi wao tu

Watafika wamechoka sana 🤣
 
Ile project ya nani zaidi imetuonyesha tulivyo wajinga na ushabiki mandazi hatuwezi hata kuisaidia timu zetu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena watafika kwa taabu mno.
 
Naomba kufahamu jina la benki, pia tunaruhusiwa kuhoji matumizi yake na auditing ifanyike
Unatakabujue jina la benki ya taasisi.? Punguani kweli wewe. Chelsea iliuzwa juzi uliona bank iliyowekwa hela ikitangazwa.? Pesa sio maandazi wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…