Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila dhahabu zinaibwa kama kawaHakuna waasi nchini kwangu na wala sijaita nchi nyingine kuja kulinda amani
Kwa taarifa yako kahama hapo kuna ndege kila alhamis inafata madini kuyapeleka ulayaZinaibiwa wapi .we nchi inapokwa madini we uko busy nchi ya watu unatetema tuuu
Wacha weeKwa taarifa yako kahama hapo kuna ndege kila alhamis inafata madini kuyapeleka ulaya
Yule mzee njaa tu ilikuwa inamsimbua,nadikia kapewa tuhela kaambiwa atulieSiku timu zikimilikiwa na wafanyabiashara kwa hata asilimia 60 basi wawekezaji wengi watazikimbilia Simba na Yanga. Sasa hivi kuziendesha hizo timu ni pasua kichwa kwasababu ya hao wanaoitwa wanachama. Mtu kama Mzee Mpili hakutakiwa awe anasema lolote juu ya Yanga.. yaani abaki kama shabiki tu. Yanga na Simba ni biashara kubwa mno kwa sababu ya uhakika wa wateja ambao ni mamilioni ya watu.
Kabisa mkuu na hivi kaingia jikoni mwenyewe kupitia kwa Hersi watazidi kuwa bahiri hakuna wa kumwambia kituHeshima kwa Mo na Azam kupaisha soka la tz. GSM mwepesi ... mwaka mmoja tu ulimi nje, kajaza retirees & free agents Utopolo, mbaya zaidi anashindwa hata kugharimia pre season
Misri usipadharauWaliahidiwa wataenda ulaya ila wapo misri 😂
Washabiki ni waswahili hawana hata Mia,ingetakiwa angalau kila mshabiki nchi nzima awe angalau ana kadi anayoilipia angalau buku 10 kwa mwaka.wangekua na mapato kibaoKulianziswa ile project ya Nani zaidi, wananchi na makelele yote milioni 50. Wenyenchi mikelele yote mil 100 .Na project ikafa.
Milioni 100 haitoshi hata kumsajili George Mpole wala Sopu, pesa haziokotwi.
Mo hajaanza kuisaidia Simba juzi ni zaidi ya miaka 20, ila biashara ngumu.
Mashamba yake ya mkonge yanayumba uzalishaji, hawezi kuweka akiba yake yote kulisha mibaba mizima na ndevu zao kama Mugalu alafu kwa msimu linafunga goli moja huku linacheka na kutafuna jojo.
GSM sio kwamba ana mapenzi na yanga ila hao wote na Mo wanafanya biashara kupitia hizi club, Yanga haijampa matokeo mazuri kibiashara ndio maana alifight simba wavae nembo yake dili likabuma.
Sasa inabidi afe kiume kuokoteza hela kwenye magodoro na mafuso yake na malori mambo yaende sawa pale jangwani, alafu jitu moja lopolopo linataka timu iende USA, Marekani sio matombo kuwa unapanda Abood na buku kumi yako umefika.
Mpira bongo hauwezi kujiendesha bado uchumi wetu ni mdogo sana, hawa GSM, Mo na Bakhresa na Azam media wanajitahidi sana tuwaponde wachezaji ila hawa watu watatu salute kwao.
Ile project ya nani zaidi imetuonyesha tulivyo wajinga na ushabiki mandazi hatuwezi hata kuisaidia timu zetuWashabiki ni waswahili hawana hata Mia,ingetakiwa angalau kila mshabiki nchi nzima awe angalau ana kadi anayoilipia angalau buku 10 kwa mwaka.wangekua na mapato kibao
Washabiki wanywa kahaw,kazi hawafanyi kazi kugombanisha viongozi wao tu
Watafika wamechoka sana 🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena watafika kwa taabu mno.Washabiki ni waswahili hawana hata Mia,ingetakiwa angalau kila mshabiki nchi nzima awe angalau ana kadi anayoilipia angalau buku 10 kwa mwaka.wangekua na mapato kibao
Washabiki wanywa kahaw,kazi hawafanyi kazi kugombanisha viongozi wao tu
Watafika wamechoka sana [emoji1787]
Naomba kufahamu jina la benki, pia tunaruhusiwa kuhoji matumizi yake na auditing ifanyikePesa zimewekwa bank mkuu afu wewe si utopwinyo.?
Unatakabujue jina la benki ya taasisi.? Punguani kweli wewe. Chelsea iliuzwa juzi uliona bank iliyowekwa hela ikitangazwa.? Pesa sio maandazi wewe.Naomba kufahamu jina la benki, pia tunaruhusiwa kuhoji matumizi yake na auditing ifanyike
Alisikika mzee mpiliNaomba kufahamu jina la benki, pia tunaruhusiwa kuhoji matumizi yake na auditing ifanyike