MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Nishakutana nalo kwenye zali mojawapo hapo kwenye kiwanda cha pombe kali ,TAZARA .Yaani kama ni mpambanaji wa hili jiji lazima umjue!ndio hivyo liliniweka kwenye target
Kama limeshakubali kukuonesha uhalisia wake ,siku liulize kuna mwana wa keko anaitwa Nyoka unamjua ? Asipokukimbia na kukublock basi sio mimi.
Alileta mchongo vyema tena nikatoa ushirikiano vyema ila finally kidogo kibarua kiote nyasi ila akanikuta mimi mwenyewe mjini sijaja kwa bus wala treni ila nilidondokea muhimbili hivyo sio mgeni wa chips wala chapati za maji