Pesa inaweza kuja kwenye maisha yako bila kutarajia

Pesa inaweza kuja kwenye maisha yako bila kutarajia

[emoji81][emoji81][emoji81] Kuna trick naitumia kwa wateja hiyo afu hawashtuki..!!

Hiyo ya pochi sio nzuri, kuna ile ya kuwaagizia blender mbovu inafanya kazi mwezi tu inazima..!! Au vifaa vya simu
Nyie mna dhambii jamaniii, khaaah [emoji23][emoji23][emoji23]
Mchina fake nje nje, Lol
 
We Bella wewe utaingia mbinguni kweli wewe?unajua nina ma blender mawili humu ndani bado mapya mapya yamekufa kizembe tu,yale wanasema heavy duty au ndio watu wako wameniuzia nini[emoji23][emoji23]?
Kimekulambaaaaaaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji81][emoji81][emoji81] Mjini hutumii nguvu kuishi akili tu mtu wangu..!!

Sasa hivi tunataka kuimport bidhaa mpya, stay tuned andaa kibunda..!!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asante sana babu ukute nyumba yako ndio ilisaidia🤣🤣🤣
Utanifanya nife kwa presha mjukuu, maana ukipoteza nyumba katika uzee huu presha haitakuacha salama 😜
Yaa mimi sijui kupanga mtiririko ila huwa inasaidia sana
Umefanya kazi nzuri sana, uandishi umetulia mno. Pale nilikuwa nachomekea kwa mods tu ili wao ndiyo waipangilie kwenye mtiririko sahihi
 
Sis nimesoma huku nacheka sana huwezi amini aiseee..!! 😹😹

Waabeshi wamekufundisha undava.
Niwe mkweli hizo dili mi nishawahi kuzipiga na bro mmoja hivi siwezi kumtaja. Kuna mwingine huyo alikua ndio hatari anaitwa Pablo mtoto wa Manzese (RIP). Huyo safu yake anampanga mkewe front.. kaimbwa sana na Twanga pepeta miaka hiyo..!!

Kuna kitu nikikisema tayari file langu litashuka chap..!! Platform km hii waabeshi wapo wengi wanaishi kwa code..!!
Acha woga
 
Back
Top Bottom