Pesa inaweza kuja kwenye maisha yako bila kutarajia

Pesa inaweza kuja kwenye maisha yako bila kutarajia

Napamiss sana hapo town ,nahisi kama isingekuwa misala kazini na mwisho kutupwa chimbo kwa akina Mwaisa huku ,hao wamba wangekuwa wamenimaliza kama sio kwa shaba basi kunikata kichwa kabisa au kuniroga maana niliwapelekea moto kama kama dragon .
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Binafsi nilipotea mjini sana!hawa ndio wanaoondoka na vichwa na kwenda kuficha kusikojulikana....ukisikia pah,usiwakalie kooni mbogamboga mji una mengi huu
 
Unataka kutukumbusha enzi za @lalar 1 na stori zake miaka 10 iliyopita 😁

Kwa kweli mjini hapa uje na akili zako tu, unaweza kutoboa maisha hapahapa ama ukatumika kama ngazi kufanya wengine wapate nafuu ya maisha kupitia wewe

Hongera kuwa mmoja wa wapambanaji, kuitwa bosslady sio jambo rahisi

Ukipata marafiki wanaowaza utafutaji/fedha kila wakati sio wa kuwaacha, ni kukomaa nao ili wakupe njia ya kutusua

Kuna sehemu nimetelekeza nyumba yangu, imekamilika ila haishi mtu, ngoja nifanye mpango wa kuitembelea mwezi ujao, isije kuwa imetumika kuwapatia watu mikopo bila mwenyewe kujua

#Mji mzito huu 😜

@Mods mkiona inafaa, unganisheni visa hivi kwenye mtiririko mzuri kutuwezesha sisi wazee kusoma kwa nafasi, wakati nafukuza mbuzi wasile tumbaku yangu huku shambani, nakuta nimepoteza page niliyokuwa naisoma 😂
 
Nyie wenye jiji lenu mbona siwaoni kwenye mastory ya town ? Lamomy Tresor Mandala Grahams ERoni ila nimemkumbuka sana Analyse
Sis nimesoma huku nacheka sana huwezi amini aiseee..!! 😹😹

Waabeshi wamekufundisha undava.
Niwe mkweli hizo dili mi nishawahi kuzipiga na bro mmoja hivi siwezi kumtaja. Kuna mwingine huyo alikua ndio hatari anaitwa Pablo mtoto wa Manzese (RIP). Huyo safu yake anampanga mkewe front.. kaimbwa sana na Twanga pepeta miaka hiyo..!!

Kuna kitu nikikisema tayari file langu litashuka chap..!! Platform km hii waabeshi wapo wengi wanaishi kwa code..!!
 
Back
Top Bottom