Pesa inaweza kuja kwenye maisha yako bila kutarajia

Pesa inaweza kuja kwenye maisha yako bila kutarajia

Mjini pagumu sana nilitakaga kupangwa nitoe kahela kangu nilikotafuta miaka mitatu kwa jasho na damu. Mtu akataka kunipiga kirahisi.

Ila nini!! Mtu sio nyau. Mtu atakunyima vyote ila sio maneno. Niliposhirikisha mtu tu. Aaah nilitoka nduki mwendo wa ngiri mkia juu kinyeo nje....
 
Ni asilimia 12 inafika mpaka 13 kwa mwaka mkuu,

Ile ni Risk Free mkuu,kushuka hakuna..ni kupanda tu kama hauta chukua gawio la kila mwezi,ile faida itaongezeka kila mwezi kwa kufanya compounding interest.

Ukiwa unachukua gawio kila mwezi,faida inakuwa almost constant..maana mtaji haukui.
Asante sana mkuu, ngoja nikazane kudumbukiza asee... 🙏
 
Back
Top Bottom