Pesa inaweza kuja kwenye maisha yako bila kutarajia

Pesa inaweza kuja kwenye maisha yako bila kutarajia

Sasa hivi wanaondoka na kichwa chako kweupe halafu jumba bovu wanaangushiwa veggies..!! 😹😹

Sasa huku kkoo kuna michezo michafu. Watu wanapigwa pesa wanarudi mikoani kimya kimya..
Huu mwandiko kama naujua vile 😆😆
Kuna signature mbili hapo unazitumia sana na kule kwenye ile nyingine...
Namaanisha dunia nyingine siyo ID.
Tuachie hapo tusiharibu mambo.
 
Nyie wenye jiji lenu mbona siwaoni kwenye mastory ya town ? Lamomy Tresor Mandala Grahams ERoni ila nimemkumbuka sana Analyse
Haya mambo ni hatari sana. Dhuluma town ni kitu cha kawaida. Binafsi kwa mjini nimekuwa nikikwepa mno hela za madili... 40 ikifika huwa ni mbaya inavuruga kabisa mwelekeo mzima wa maisha yaliyobakia.
 
Mimi na yeye hatujawahi onana tena baada ya kutoka pale benki tuliwasiliana kama siku tatu ananipanga tukazungumze nikaanza pokea na vitisho kutoka kwa Muddy akasema yeye ndio contact nitaona nikaona wasinizingue nikatupa line.
Dah,
We ni jasiri sana aisee.

Kwenye ile benki uliyochukua mkopo ulikuwa huendi tena?

Hawakujua ilipo biashara yako wala nyumbani kwako?
 
Sis nimesoma huku nacheka sana huwezi amini aiseee..!! 😹😹

Waabeshi wamekufundisha undava.
Niwe mkweli hizo dili mi nishawahi kuzipiga na bro mmoja hivi siwezi kumtaja. Kuna mwingine huyo alikua ndio hatari anaitwa Pablo mtoto wa Manzese (RIP). Huyo safu yake anampanga mkewe front.. kaimbwa sana na Twanga pepeta miaka hiyo..!!

Kuna kitu nikikisema tayari file langu litashuka chap..!! Platform km hii waabeshi wapo wengi wanaishi kwa code..!!
cocastic mtu wangu nimempata alipojichimbia. Nimemfuatilia mpaka nikamkuta katika handaki la wa Iran. Roho kwatu
 
Back
Top Bottom