Pesa inaweza kuja kwenye maisha yako bila kutarajia

Pesa inaweza kuja kwenye maisha yako bila kutarajia

Joh kasukuma kete zake vizuri sana, Hayo mengine ni hadithi zako tu.

Huyo jamaa angekua na uwezo wa kukata watu vichwa, asingekua anatumia njia ndefu hiyo ya kupata hela.

Akijitahidi sana arudi kwa shekhe Amsomee marijuani.
Upo sahihi!wana utapeli tu wa kimjinimjini ukijichanganya unapigwa!
Kaka Muddy alisema anaenda Tumbatu Kunisomea nitableed kila kwenye tundu la mwili wangu!naona tu MP za kila mwezi hazijabadilika
 
Ndiyo hivyo Joh ,japo sikudhani baada ya mimi kama angeendelea na hizo mbishe maana aliapa anaacha ila ndiyo vile tabia ni kama ngozi .
Mimi na yeye hatujawahi onana tena baada ya kutoka pale benki tuliwasiliana kama siku tatu ananipanga tukazungumze nikaanza pokea na vitisho kutoka kwa Muddy akasema yeye ndio contact nitaona nikaona wasinizingue nikatupa line.
 
Uko sahihi sana!ila nisingeweza kuchafua recoding zangu halafu hao ndio mafia sijui wachukue hela kirahisi wapotee,kikubwa niliwalipa hela yao ya mchakato japo kweli walitangaza state of emergency!
Kwa hio uliwapa million 2 kwenye million 22 kisha ukaanza kurudisha rejesho la bank na biashara fake na nyumba fake, na rejesho ushamaliza mpaka sasa au bado?
 
Mimi na yeye hatujawahi onana tena baada ya kutoka pale benki tuliwasiliana kama siku tatu ananipanga tukazungumze nikaanza pokea na vitisho kutoka kwa Muddy akasema yeye ndio contact nitaona nikaona wasinizingue nikatupa line.
Muddy yupo last time alisota kiasi chake pale Central baada ya tukio lingine kwa gabachori wa mbezi walimpiga m70 ,mgao wa afande kilowoko wakala na story zikawa nyingi akamsweka ndani .

Pona yake kilowoko alipotupwa kagera ndiyo kucheza na akina Rashidi akarudi uraiani.

Amejenga kimara mwisho kule bonyokwa karibu na shule ya Midalnds .

Ila Bena the boss yupo mjini hapa hapa japo sikujua bado anaendelea na hizo pigo zake .
 
Boya tu huyo. Ujanja wake mkubwa ni shekhe 😁
Michezo michezo ya kupigana mchanga wa macho na kuchezeshana akili tu hakuna kitu hapo ila mambo ya biashara na dili chafu inabidi uwe smart uwe safi hutakiwi kuwafanyia wengine mabaya la sivyo kuna tukio mbele linakuja na wewe haujui litatokeaje yaan inaweza ichukue miaka ila kuna tukio mbele utakutana nalo tu ukishaanza kucheza mbaya na wewe jiandae kuchezewa mbaya
 
Muddy yupo last time alisota kiasi chake pale Central baada ya tukio lingine kwa gabachori wa mbezi walimpiga m70 ,mgao wa afande kilowoko wakala na story zikawa nyingi akamsweka ndani .

Pona yake kilowoko alipotupwa kagera ndiyo kucheza na akina Rashidi akarudi uraiani.

Amejenga kimara mwisho kule bonyokwa karibu na shule ya Midalnds .

Ila Bena the boss yupo mjini hapa hapa japo sikujua bado anaendelea na hizo pigo zake .
Mkuu unawajua wote,au we mmoja wao japo ushaacha mkuu!
 
Umenifurahisha sana ulivyojifanya mbugila na fala kumbe akili ku mkichwa zimejaa hadi zinamwagika.

Yote tisa, je marejesho unarudisha au ulifanikiwa kumaliza mkopo? Sababu ulitumia vitambulisho vyako halisi vya NIDA
 
Dah hapana sio mmoja wao kaka ila majukumu yangu mengine yamenikutanisha na hawa wamba mara zote .
Hivyo sio jina langu nikikutajia hata PM basi kuna tapeli asiyenijua mkuu sababu wengi tunagumiana kwenye utafutaji wa ridhiki .
Poapoa! Kuna mwana anaitwa Ben'ga vipi unampata au chacha!
Kuna mwaka walipiga dili na papa msofe halafu wakataka wamdhulumu! aliwatembezea pila wote.
 
Poapoa! Kuna mwana anaitwa Ben'ga vipi unampata au chacha!
Kuna mwaka walipiga dili na papa msofe halafu wakataka wamdhulumu! aliwatembezea pila wote.
Unataka kuniexpose mkuu wangu ,nawajua ndiyo ila kama mnawasiliana na msofe muulize vipi baada ya kuwatembezea pila nini kilifuata temeke mikoroshini kwa kile kimada chake ?

Somebody Farida ?
 
Back
Top Bottom