Duka la vyakula vya kuku bado unaendelea nalo Nije kukuungisha mkuu? Ila Mungu wa ajabu,ulikuwa huna sifa ya kupata mkopo Bank! Lakin umepata kimaajabu tu.Muda wowote kuanzia sasa namalizia nina jukumu namalizia
Mkuu tumia code usitaje na ku expose majina. Mikoroshini ni pa dogo sana na Dunia ni kama Kijiji.Unataka kuniexpose mkuu wangu ,nawajua ndiyo ila kama mnawasiliana na msofe muulize vipi baada ya kuwatembezea pila nini kilifuata temeke mikoroshini kwa kile kimada chake ?
Somebody Farida ?
😀😀Usitaje majina mkuu twendeni kwa code..
Mkuu majina yenyewe tunayotumia humu ni fake! Si mpaka wakujue sasa! hao walipiga kazi na papaa msofe wakamdhulumu mwaka 2015, aliwatembezea pila akawapola mali zote.Usitaje majina mkuu twendeni kwa code..
ExactlyNakwambia Mungu akiamua kukunyooshea haandiki barua
Mh sasa ukajua kimada kinaitwa farida ? Je una uhakika yuko hai au bado yuko mjini hapo ?Mkuu tumia code usitaje na ku expose majina. Mikoroshini ni pa dogo sana na Dunia ni kama Kijiji.
Dah Joh ,leo umenirudisha mbali kweli kweli mwanangu sema nini fresh Mungu alipita mule mule kukubless aiseeKabisaa,maana hizi mbanga wengi wako Temeke
Yaani unakuwa kama digidigi mi mwenyewe mwanzoni niliteseka sana..Mh sasa ukajua kimada kinaitwa farida ? Je una uhakika yuko hai au bado yuko mjini hapo ?
Utapeli na amani ni vitu viwili tofauti huwezi kusettle lazima uwe mtu wa maisha ya mashaka mashaka sana
Ni maisha fulani ya tabu sana .Yaani unakuwa kama digidigi mi mwenyewe mwanzoni niliteseka sana..
Ukimalizia nitag maana kumbe uliowataja na code name zao humu wanajulikana kwa hio story yako itawafikia, maliza tuone mwisho ulipofikia au mlifikia wapiNamalizia story