Pesa inaweza kuja kwenye maisha yako bila kutarajia

Pesa inaweza kuja kwenye maisha yako bila kutarajia

Ila Dar jamaniii, afu sijui wanakuonajee, utashangaa Ghafla mtu anakupapatia, ukiangalia wee unawaza utoboe kupitia wao, kumbe wao ndo wanatoboa kupitia wewee. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kila mtu anataka kumgeuza mwenzie fursa😹
 
Nitarudi.

Mm n
Catholic-Voodoo Practitioner | Wicca & East African Traditions
Healing | Divination | Spiritual Guidance

Mwenye shida yoyote njoo inbox
 
😂😂😂Unapenda sana mambo ya kihabesh..Siku ukifuata mzigo China tutafute wateja wa kuletewa mzigo ,akichagua pochi za elfu 15 tunamletea mzigo wa pochi za buku jero
😹😹😹 Kuna trick naitumia kwa wateja hiyo afu hawashtuki..!!

Hiyo ya pochi sio nzuri, kuna ile ya kuwaagizia blender mbovu inafanya kazi mwezi tu inazima..!! Au vifaa vya simu
 
😹😹😹 Kuna trick naitumia kwa wateja hiyo afu hawashtuki..!!

Hiyo ya pochi sio nzuri, kuna ile ya kuwaagizia blender mbovu inafanya kazi mwezi tu inazima..!! Au vifaa vya simu
We Bella wewe utaingia mbinguni kweli wewe?unajua nina ma blender mawili humu ndani bado mapya mapya yamekufa kizembe tu,yale wanasema heavy duty au ndio watu wako wameniuzia nini😂😂?
 
We Bella wewe utaingia mbinguni kweli wewe?unajua nina ma blender mawili humu ndani bado mapya mapya yamekufa kizembe tu,yale wanasema heavy duty au ndio watu wako wameniuzia nini😂😂?
😹😹😹 Hizo hizo Heavy duty tunakutestia inasaga mpk chupa ila sasa nenda kasage wewe uone mambo inavyoenda…!!
 
Back
Top Bottom