MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Nishakutana nalo kwenye zali mojawapo hapo kwenye kiwanda cha pombe kali ,TAZARA .Yaani kama ni mpambanaji wa hili jiji lazima umjue!ndio hivyo liliniweka kwenye target
Hapo sawa,ninatumai hupati changamoto za marejesho ya mkopo,. Ina maana huyo dada alitaka mgawane pasu hyo mil 25 halafu marejesho akuachie wewe peke yako,? Maana we ndo unaye tambulika huko benki.Ni kweli ni ya benki lakini sikuitegemea!sikuwa hata na vigezo vya kuipata
Umesema alikuona kama kageni ka jiji, then kwa mazingira hayo akuamini kama partner wa biashara hapa jijini? Jambo kama hilo angelifanya na hao rafiki zake wazoefu wa biashara. Kuna taa nyekundu mbeleni.
Mkuu wangu ,huo ndiyo utapeli mpya hapa mjini .Hapo sawa,ninatumai hupati changamoto za marejesho ya mkopo,. Ina maana huyo dada alitaka mgawane pasu hyo mil 25 halafu marejesho akuachie wewe peke yako,? Maana we ndo unaye tambulika huko benki.
Aisee,ukiwa mwenye tamaa ni rahisi kutapeliwa namna hiyo. Nina jirani yangu mmoja mwalimu mstaafu,kabla ya kustaafu alikuwa karibu na mfanyabiashara mmoja..Mkuu wangu ,huo ndiyo utapeli mpya hapa mjini .
Dah inaumiza sana sio kidogo ,kikubwa ni kuzuia tamaa ila ukishindwa kuizuia basi umeumiaAisee,ukiwa mwenye tamaa ni rahisi kutapeliwa namna hiyo. Nina jirani yangu mmoja mwalimu mstaafu,kabla ya kustaafu alikuwa karibu na mfanyabiashara mmoja..
Yule mfanyabiashara akamshawishi wachukue mkopo kama mil 30,halafu nyumba yake mwalimu iwekwe bond ila marejesho atafanya yeye jamaa siyo mwalimu.
Mil 30 ikatoka,mwalimu akapoozwa kama mil 6. Jamaa akaanza marejesho,amerejesha kama miaka miwili,akashindwa kuendelea.
Mwalimu akiwa ana staafu akapewa pesa yake[kiinua mgongo],baada ya jamaa kushindwa kulipa marejesho benki wakataka kuuza nyumba,mwalimu ikabidi ainunue nyumba yake yeye mwenyewe ili kuepuka kupigwa mnada.
Mpaka leo anamdai yule mfanya biashara hela yake na hajalipwa,
Ndugu zako wanaweza kukutapeli vizuri tuMimi mtu akitaka kunitapeli atumie UCHAWI, NGUVU au Mapenzi.
Hii ya mapenzi nayo soon itaanza kua Ngumu.
Ila maneno matupu utachoka tu.
Ndugu zako wanaweza kukutapeli vizuri tu
Unanyooshwa vizuri tu bwasheeKama hawatumii Uchawi Hawawezi.
Oya kua makini kucheka kupokezana isije kua Bena kampanga Muhaya aje kukupanga wewe umsaliti na wewe umejaa umeamua kumsnitch bila kujiuliza mara 2 na hujui atachukua hatua gani baada ya wewe kumsnitch hio michezo ipo inabidi akili yako ijue kucheza vizuri ukikosea step tu unaenda kuzikwa bila kichwaBena unaniletea majambazi unataka kuniua?mimi huyo nimekaza komwe ndukiiiiiii.
nipo mbioni kutoa nyaraka niingie taasis moja wapo ya mikopo
picha ya bena the don naona kama atanifaa hivi😀
hatare sana mkuu pesa ni muhimu na ukipata pakuonea onea tuPesa zichukuliwe tu, haiwezekani ulale njaa wakati pesa zina printiwa tu.
Sema uwe makini na huyo bena,anaweza kupita na wewe. Maana mmefanyiana umafia