Pesa ni Shetani; Mchezaji aliyekataa kuvaa jezi ya kuunga ushoga alazimishwa kuchagua kati ya mshahara wa milioni 200 kila wiki ama kurudi Afrika

Freemason ndio wanaomilki mfumo wa mpira wa miguu duniani sasa hao waarabu watawakwepea wapi.
Pili kuwa mwarabu hakumaanishi ndo kuiva dini.
Hao unaowasema matajiri ni waislamu wakiwa uarabuni,
 
Huyo bwege ningemuona wa maana Kama angekataa yeye mwenyewe bila kuhusisha dini,
maana dini zenyewe tumeletewa sasa vipi Kama dini yake ingekuwa inaruhusu kutatuliwa nadhani angekuwa Hana marinda.

Mimi nakataa ushoga bila kuhusisha chochote. dini zikikubali au bwege yoyote akubaliane na ufala huo...
my judgement is still stands
 
Kutokuamini au kuunga mkono ushoga ni haki yake ya msingi, kwa hiyo kumshurutisha kwa namna yoyote kuwaunga mkono mashoga ni kukiuka haki yake ya msingi ya kiimani.
 
Hii kauli "Au urudi Africa" inamaanisha nini?
 
Dini yake inamkataza kucheza mpira pia
 
Morcos Alonso hapigi goti kupinga ubaguzi wa rangi lakini hawajamfanya chochote kwasababu ana uhuru wa maoni. Ila gueye sasa...
 
mbona rangi za ki JAH tuu..
ajione km amevaa rastafarian tuu.
africa sio kuzuri jamani.
bora uwe popo ulaya kuliko mtu africa.hahaha
Je ipo kipo kipengele kwenye mkataba wake kinachamlazimisha aunge mkono ushoga au kampeni ya ushoga?
Kama hakuna hapaswi kulaumiwa na inabidi alipwe pesa ya kumvunjia mkataba.

Sasa inaonekana mashoga wanataka kuingilia uhuru na imani za watu wengine.

Kwani yeye amemshambulia shoga kwa kauli au kwa vitendo?
Nilichoona yeye alichagua kukaa kimya. Sasa wanataka kumuadhibu kwa kutowaunga mkono na kukaa kimya.

Fvck democracy, fvck LGBT movement ... we are damn fvcking free males with high amount of T - hormones...
 
Gueye naye ameyakuza mambo,alipaswa ayachukulie mambo katika hali ya uwiano.
 
Gueye naye ameyakuza mambo,alipaswa ayachukulie mambo katika hali ya uwiano.
Uwiano gani?
Kukubali kufanya kampeni ya LGBT propaganda ambayo inalenga kuwashawishi vijana na watoto waone ushoga ni kitu cha kawaida kinachofaa kuigwa kukubakika kwa wote regardless of individual faith?
 

Shehe ni cheo gani katika uislamu ?
 
Mi nimetaja waarabu kwakua nawaona kama ndio wenye asili na dini hiyo
Kwa sababu gani unasema wana asili na hiyo dini? Vp wazanzibari wao hiyo dini sio asili yao?
 
Pengine sijakuelwa. Me ninavojua hio jezi ya PSG anavaa km kawaida na huo mshahara anachukua kila wiki. Tatizo la Gueye kakataa jezi ambazo namba za mgongoni zina rangi za rainbow zenye kunasibishwa na ushoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…