Pesa ni Shetani; Mchezaji aliyekataa kuvaa jezi ya kuunga ushoga alazimishwa kuchagua kati ya mshahara wa milioni 200 kila wiki ama kurudi Afrika

Pesa ni Shetani; Mchezaji aliyekataa kuvaa jezi ya kuunga ushoga alazimishwa kuchagua kati ya mshahara wa milioni 200 kila wiki ama kurudi Afrika

Mbona hata hivyo watu wanasema waarabu ndio wanakibunda sana ila ndio hivyo forbes imewa-isolate

Sasa kwa point hiyo si wange msaidia tu dogo kwasababu haiwalunguzii kitu zaidi ya fame tu

Yani wewe ndanj una bilion 10, watu wakisema una laki 2 inaondoa ukweli?
Freemason ndio wanaomilki mfumo wa mpira wa miguu duniani sasa hao waarabu watawakwepea wapi.
Pili kuwa mwarabu hakumaanishi ndo kuiva dini.
Hao unaowasema matajiri ni waislamu wakiwa uarabuni,
 
Huyo bwege ningemuona wa maana Kama angekataa yeye mwenyewe bila kuhusisha dini,
maana dini zenyewe tumeletewa sasa vipi Kama dini yake ingekuwa inaruhusu kutatuliwa nadhani angekuwa Hana marinda.

Mimi nakataa ushoga bila kuhusisha chochote. dini zikikubali au bwege yoyote akubaliane na ufala huo...
my judgement is still stands
 
Kutokuamini au kuunga mkono ushoga ni haki yake ya msingi, kwa hiyo kumshurutisha kwa namna yoyote kuwaunga mkono mashoga ni kukiuka haki yake ya msingi ya kiimani.
 
Hii kauli "Au urudi Africa" inamaanisha nini?
 
mbona rangi za ki JAH tuu..
ajione km amevaa rastafarian tuu.
africa sio kuzuri jamani.
bora uwe popo ulaya kuliko mtu africa.hahaha
Je ipo kipo kipengele kwenye mkataba wake kinachamlazimisha aunge mkono ushoga au kampeni ya ushoga?
Kama hakuna hapaswi kulaumiwa na inabidi alipwe pesa ya kumvunjia mkataba.

Sasa inaonekana mashoga wanataka kuingilia uhuru na imani za watu wengine.

Kwani yeye amemshambulia shoga kwa kauli au kwa vitendo?
Nilichoona yeye alichagua kukaa kimya. Sasa wanataka kumuadhibu kwa kutowaunga mkono na kukaa kimya.

Fvck democracy, fvck LGBT movement ... we are damn fvcking free males with high amount of T - hormones...
 
Gueye naye ameyakuza mambo,alipaswa ayachukulie mambo katika hali ya uwiano.
 
Gueye naye ameyakuza mambo,alipaswa ayachukulie mambo katika hali ya uwiano.
Uwiano gani?
Kukubali kufanya kampeni ya LGBT propaganda ambayo inalenga kuwashawishi vijana na watoto waone ushoga ni kitu cha kawaida kinachofaa kuigwa kukubakika kwa wote regardless of individual faith?
 
View attachment 2234299


katika hali kama hii ndipo unapoona wazi wazi bila kificho kwamba pesa zina elements kubwa sana za ushetani.

Mchezaji wa psg (timu hii inamilikiwa na shehe tajiri) wiki iliyopita alikataa kuvaa jezi yenye rangi za kuunga mkono ushoga, usagaji na kubadili jinsia, sababu yake kuu ni kwamba ni kinyume na asili yake na pia dini yake hairuhusu.

Sasa ishu inapokuja ni kwamba mchezaji huyu analipwa milioni 200 kila wiki na watu wanaofanikisha hilo jambo wao wanapenda kuunga mkono ushoga, wamechukizwa na mchezaji huyu kutovaa jezi na kwa sasa imembidi mchezaji achague kimoja kati ya kitita cha milioni 200 ama kurudi afrika.

Muafaka bado haujafikiwa hadi sasa japo kuna picha za uzushi kama niliyoambatanisha zinasambaa .

Je ni kipi atakichagua kati ya milioni 200 za kila wiki ama kurudi afrika.

wachezaji wengine wa kiislam wakiwemo Benzema, Kante, Pogba, n.k wao wanavaa kama kawaida.

Shehe ni cheo gani katika uislamu ?
 
Pengine sijakuelwa. Me ninavojua hio jezi ya PSG anavaa km kawaida na huo mshahara anachukua kila wiki. Tatizo la Gueye kakataa jezi ambazo namba za mgongoni zina rangi za rainbow zenye kunasibishwa na ushoga.
 
Back
Top Bottom