Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Freemason ndio wanaomilki mfumo wa mpira wa miguu duniani sasa hao waarabu watawakwepea wapi.Mbona hata hivyo watu wanasema waarabu ndio wanakibunda sana ila ndio hivyo forbes imewa-isolate
Sasa kwa point hiyo si wange msaidia tu dogo kwasababu haiwalunguzii kitu zaidi ya fame tu
Yani wewe ndanj una bilion 10, watu wakisema una laki 2 inaondoa ukweli?
Pili kuwa mwarabu hakumaanishi ndo kuiva dini.
Hao unaowasema matajiri ni waislamu wakiwa uarabuni,