Sasa kwani uislamu ni nini hadi iwe huko makka ndio kuna vitu vyenye kumbukumbu ya uislamuNikweli waarabu ndio wenye asili ya uislamu na huko kwao ndiko kuna vitu vingi vya kumbukumbu kuhus uislamu
Hakuna ushahidi wa kihistoria wowote unaoonesha kulikuwa na uislamu kabla ya muhammad
Hiyo unaoisema wewe ni kama slogan ambayo kama dini iliamua kujichagulia kuitumia
Kwani hakuna waafrika wenye kujua english kuliko muingereza?Ina maana yeye ni muislamu kumzidi bosi wake yule shehe kutoka uarabuni,mmiliki wa timu??..waafrika tuna matumizi mabaya ya akili..
Kwasababu huko ndiko ulipoanzia, mwanzilishi wa uislamu aliishi maeneo hayo na mikakati yake yaSasa kwani uislamu ni nini hadi iwe huko makka ndio kuna vitu vyenye kumbukumbu ya uislamu
Umekataa kwamba uislamu kuwa umeanza kabla ya Muhammad na ndipo nakuuliza kwani uislamu ni nini hadi upinge kuwepo kwa uislamu huko nyuma kabla ya Muhammad huko Makka?Kwasababu huko ndiko ulipoanzia, mwanzilishi wa uislamu aliishi maeneo hayo na mikakati yake ya
Kusambaza dini ilianzia huko
Yaani muafrika ajue kifaransa kumzidi mfaransa mwenyewe...!??Kwani hakuna waafrika wenye kujua english kuliko muingereza?
Uislamu ni diniUmekataa kwamba uislamu kuwa umeanza kabla ya Muhammad na ndipo nakuuliza kwani uislamu ni nini hadi upinge kuwepo kwa uislamu huko nyuma kabla ya Muhammad huko Makka?
Yeah... Kwanini unafikiri haiwezekani?Yaani muafrika ajue kifaransa kumzidi mfaransa mwenyewe...!??
Ndio ni dini.Uislamu ni dini
Sio Mchezaji Vs Imani yake.... Imani ipo ndani ya mchezaji lwahiyo hapo ni mchezaji Vs Wavuruga imani na wavuruga imani ndio hao wanao mlipa mshahara kwa maana kama kumekuja sharti la kuvaa au kukosa mshahara basi ni wazi wenye kupalilia ushoga ndio haohao wenye kulipa pesa(mshahara)Sasa hapo tatizo la pesa nini ? Hapo mgogoro ni mchezaji Vs imani yake ila pesa haina tatizo hapo . Achague imani yake au pesa . Simple
Na hilo labda ndio lengo lao... wengi mjue mkienda kinyume mtapotea at most muogope kupingana na maagizo yao..[emoji28]Mkuu hili suala litampoteza jamaa,atleast angekua mzungu ila muafrika na huo msimamo jamaa hatoboi
Una ushahidi wa hili uliloliandika hapa? Lengo lako Ni nini? Kuuchafua uislam? Umekukosea nini?Hela kwanza, mbona ma chef kwenye mahotel wale suruali fupi mbona nguruwe wanaipika kama menu kawaida though wao hawaili.
Kwa point yako unamaanisha imani nyingine kama ukristo ambao wamekaa kimya ni kwamba wanaunga mkono uchoko au??Ina maana yeye ni muislamu kumzidi bosi wake yule shehe kutoka uarabuni,mmiliki wa timu??..waafrika tuna matumizi mabaya ya akili..
Huo ukristo,uislamu wenyewe tumeletewa na hao hao wanaokuletea uchoko..halafu tunataka kujifanya sisi tunazijua dini kuwazidi waliotuletea,hivi hadi wenyewe wanatushangaa tulivyo mapoyoyo,yaani uiache hela milioni 200 per week,kisa kuvaa jezi yenye rangirangi za rainbow..hapohapo utashangaa waafrika wenzako wana njaa kali,hawana huduma za msingi n.k....matumizi mabaya ya akiliKwa point yako unamaanisha imani nyingine kama ukristo ambao wamekaa kimya ni kwamba wanaunga mkono uchoko au??
Haiwezekani,we mtanzania umezaliwa ngurunyembe,umefunza English darasa la saba B,ujue kiingereza kumzidi mtu aliyezaliwa nacho yaani native,acha utani jamaaYeah... Kwanini unafikiri haiwezekani?
Hakuna anayezaliwa na lugha wote tunajifunza ndio maana si ajabu ukikuta muafrika anafundisha english huko ulaya au marekani, ndio sawa na dini.Haiwezekani,we mtanzania umezaliwa ngurunyembe,umefunza English darasa la saba B,ujue kiingereza kumzidi mtu aliyezaliwa nacho yaani native,acha utani jamaa
Nachopinga ni promo na hayo mambo kupewa airtime.Sasa kwanini unapinga ushoga mkuu?
Nakujua unachopinga ila sijui sababu ya kukufanya wewe upinge?Nachopinga ni promo na hayo mambo kupewa airtime.
Mara ya kwanza alikuwa majeruhi sio kama alikataa ila ya sasa mzima wa Afya na alikuwa kwenye list ya wachezaji waliotakiwa kuanza, kaweka msimamo wa kiduanzi angefikilia alipo toka tu angetumia msimamo wa mtumikie kafiri ili mambo yako yaende maana akiferi hata aliokuwa akiwasaidia watamkana tu afrika tunajuanaNi uongo.
Gueye hii ni mara yake ya pili kukataa kuvaa jezi ya hivyo na hakukatwa mshahara, iweje leo?
Na hata hivyo uhuru inamaanisha siyo lazima kukubaliana nao. So kama haukubaliani nao mtazamo wao ila ukawaheshimu kama binadamu then haina tatizo.
Kabla sijakujibu, una marinda? Nisijekuwa napoteza muda kukujibu.Nakujua unachopinga ila sijui sababu ya kukufanya wewe upinge?