Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Sasa kwani uislamu ni nini hadi iwe huko makka ndio kuna vitu vyenye kumbukumbu ya uislamuNikweli waarabu ndio wenye asili ya uislamu na huko kwao ndiko kuna vitu vingi vya kumbukumbu kuhus uislamu
Hakuna ushahidi wa kihistoria wowote unaoonesha kulikuwa na uislamu kabla ya muhammad
Hiyo unaoisema wewe ni kama slogan ambayo kama dini iliamua kujichagulia kuitumia