Pesa ni Shetani; Mchezaji aliyekataa kuvaa jezi ya kuunga ushoga alazimishwa kuchagua kati ya mshahara wa milioni 200 kila wiki ama kurudi Afrika

Pesa ni Shetani; Mchezaji aliyekataa kuvaa jezi ya kuunga ushoga alazimishwa kuchagua kati ya mshahara wa milioni 200 kila wiki ama kurudi Afrika

Nikweli waarabu ndio wenye asili ya uislamu na huko kwao ndiko kuna vitu vingi vya kumbukumbu kuhus uislamu

Hakuna ushahidi wa kihistoria wowote unaoonesha kulikuwa na uislamu kabla ya muhammad

Hiyo unaoisema wewe ni kama slogan ambayo kama dini iliamua kujichagulia kuitumia
Sasa kwani uislamu ni nini hadi iwe huko makka ndio kuna vitu vyenye kumbukumbu ya uislamu
 
Sasa kwani uislamu ni nini hadi iwe huko makka ndio kuna vitu vyenye kumbukumbu ya uislamu
Kwasababu huko ndiko ulipoanzia, mwanzilishi wa uislamu aliishi maeneo hayo na mikakati yake ya
Kusambaza dini ilianzia huko
 
Kwasababu huko ndiko ulipoanzia, mwanzilishi wa uislamu aliishi maeneo hayo na mikakati yake ya
Kusambaza dini ilianzia huko
Umekataa kwamba uislamu kuwa umeanza kabla ya Muhammad na ndipo nakuuliza kwani uislamu ni nini hadi upinge kuwepo kwa uislamu huko nyuma kabla ya Muhammad huko Makka?

Maana wenyewe waislamu (waarabu) wanasema Muhammad hajaanzisha uislamu.
 
Umekataa kwamba uislamu kuwa umeanza kabla ya Muhammad na ndipo nakuuliza kwani uislamu ni nini hadi upinge kuwepo kwa uislamu huko nyuma kabla ya Muhammad huko Makka?
Uislamu ni dini
 
Sasa hapo tatizo la pesa nini ? Hapo mgogoro ni mchezaji Vs imani yake ila pesa haina tatizo hapo . Achague imani yake au pesa . Simple
Sio Mchezaji Vs Imani yake.... Imani ipo ndani ya mchezaji lwahiyo hapo ni mchezaji Vs Wavuruga imani na wavuruga imani ndio hao wanao mlipa mshahara kwa maana kama kumekuja sharti la kuvaa au kukosa mshahara basi ni wazi wenye kupalilia ushoga ndio haohao wenye kulipa pesa(mshahara)
 
Hela kwanza, mbona ma chef kwenye mahotel wale suruali fupi mbona nguruwe wanaipika kama menu kawaida though wao hawaili.
Una ushahidi wa hili uliloliandika hapa? Lengo lako Ni nini? Kuuchafua uislam? Umekukosea nini?
 
Ina maana yeye ni muislamu kumzidi bosi wake yule shehe kutoka uarabuni,mmiliki wa timu??..waafrika tuna matumizi mabaya ya akili..
Kwa point yako unamaanisha imani nyingine kama ukristo ambao wamekaa kimya ni kwamba wanaunga mkono uchoko au??
 
Kwa point yako unamaanisha imani nyingine kama ukristo ambao wamekaa kimya ni kwamba wanaunga mkono uchoko au??
Huo ukristo,uislamu wenyewe tumeletewa na hao hao wanaokuletea uchoko..halafu tunataka kujifanya sisi tunazijua dini kuwazidi waliotuletea,hivi hadi wenyewe wanatushangaa tulivyo mapoyoyo,yaani uiache hela milioni 200 per week,kisa kuvaa jezi yenye rangirangi za rainbow..hapohapo utashangaa waafrika wenzako wana njaa kali,hawana huduma za msingi n.k....matumizi mabaya ya akili
 
Haiwezekani,we mtanzania umezaliwa ngurunyembe,umefunza English darasa la saba B,ujue kiingereza kumzidi mtu aliyezaliwa nacho yaani native,acha utani jamaa
Hakuna anayezaliwa na lugha wote tunajifunza ndio maana si ajabu ukikuta muafrika anafundisha english huko ulaya au marekani, ndio sawa na dini.
 
Ni uongo.

Gueye hii ni mara yake ya pili kukataa kuvaa jezi ya hivyo na hakukatwa mshahara, iweje leo?

Na hata hivyo uhuru inamaanisha siyo lazima kukubaliana nao. So kama haukubaliani nao mtazamo wao ila ukawaheshimu kama binadamu then haina tatizo.
Mara ya kwanza alikuwa majeruhi sio kama alikataa ila ya sasa mzima wa Afya na alikuwa kwenye list ya wachezaji waliotakiwa kuanza, kaweka msimamo wa kiduanzi angefikilia alipo toka tu angetumia msimamo wa mtumikie kafiri ili mambo yako yaende maana akiferi hata aliokuwa akiwasaidia watamkana tu afrika tunajuana
 
Hata Chadema walikubali hiyo kitu ili wasikose misaada.
 
Back
Top Bottom