OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mimi navuta mshahara, wanaopigwa miti ni wao watajijua na tigo zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waarabu kwani wanamiliki imani gani?Kwa jinsi jambo hili lilivyokwenda viral nilitegemea mabilionea wakiarabu wangempa support dogo kwa kumuambia shikilia msimamo wako usihofie kuhusu kupoteza kazi, sisi tutaku fadhili mamilioni ya pesa kwa kulinda misingi ya dini
Nimemaanisha waarabu wenye imani ya kiislamu wale wakwasiWaarabu kwani wanamiliki imani gani?
Huyo dogo ni mpuuzi tu.Kwa jinsi jambo hili lilivyokwenda viral nilitegemea mabilionea wakiarabu wangempa support dogo kwa kumuambia shikilia msimamo wako usihofie kuhusu kupoteza kazi, sisi tutaku fadhili mamilioni ya pesa kwa kulinda misingi ya dini
Corona ilikuwa ni mpango wa kuzimu ndio maana aliikataaMhhh , hapo kwenye payroll pagumu sana, najua Magufuli alikuwa na mapungufu mengi kwenye uongozi wake ila huenda ulikuwa ni mpango wa Mungu kutpa rais ambae angekuwa na msimami mkali kuhusu janga la covid, ingekuwa ni rais mwengine tungepigwa lock down
Hata wao wangefata misingi ya dini zao wasingekuwa mabilioneaKwa jinsi jambo hili lilivyokwenda viral nilitegemea mabilionea wakiarabu wangempa support dogo kwa kumuambia shikilia msimamo wako usihofie kuhusu kupoteza kazi, sisi tutaku fadhili mamilioni ya pesa kwa kulinda misingi ya dini
Dunia ina wenyewe bila chapa yao Hakuna kuuza wala kununuaNi uongo.
Gueye hii ni mara yake ya pili kukataa kuvaa jezi ya hivyo na hakukatwa mshahara, iweje leo?
Na hata hivyo uhuru inamaanisha siyo lazima kukubaliana nao. So kama haukubaliani nao mtazamo wao ila ukawaheshimu kama binadamu then haina tatizo.
Unachokisema kinafikirishaHuyo dogo ni mpuuzi tu.
Kuna mashekhe walikuja wakatuaminisha kwamba tusivae mashati fulani kwani hayo tukivaa tu tunawapigia promo freemasons.
Tunavaa mpaka kesho na hakuna rate yoyote ya watu kujiunga na freemasons.
sasa huyu jamaa naye sijui anafeli wapi,yeye angevaa tu Mungu sio mpuuzi kama anachukia ushoga Mungu anajua tu.
Nazungumzia mabilionea wale wenye wako huko uarabuni wenye kushika dini sanaHata wao wangefata misingi ya dini zao wasingekuwa mabilionea
Kabis mkuu.Unachokisema kinafikirisha
Mfano saizi hakuna statement yeyote ya dini inayozuia kuvaa nguo ya yellow
Miaka ijayo ikatokea kund la watu wenye maadili mabovu wameamua kutumia rangi ya yellow kama utambulisho wao
Kuanzia hapo automatic kile ambacho kilikuwa kinatambulika kuwa jambo la kawaida na lenye maadili litapewa sura mpya na kuanza kuwa treated kama dhambi
Sasa miaka ya nyuma kabla ya hii raibow symbol kuwa utambulisho wa LBT inamaana waliokuwa wanavaa au kupenda rangi ya raibow tunawaweka kwenye kundi la watu waliokiuka miko ya dini au?
Kwani wao awaogopi kufutwa kwenye list ya Forbes.Au kushushwa utajiri.Hii Dunia hako na wamiliki wake.Nazungumzia mabilionea wale wenye wako huko uarabuni wenye kushika dini sana
Kwanini wasitoe support kwa dogo kwa kumtoa wasi wasi kua asiwaze kuhus kupoteza kibarua tutakupa ujira wenye pesa nyingi zaidi ya hapo?
Mbona hata hivyo watu wanasema waarabu ndio wanakibunda sana ila ndio hivyo forbes imewa-isolateKwani wao awaogopi kufutwa kwenye list ya Forbes.Au kushushwa utajiri.Hii Dunia hako na wamiliki wake.
Kwan umesahau kuwa waafrika tuna heshimu sana Iman za din zetu kushinda walio tuletea ?Wamiliki wa hio timu ndio hao hao waliomletea hio dini anayokomaa nayo
bahati mbaya au nzuri ni kuwa asilimia kubwa ya mabilionea wa kiarabu ndio wamiliki wa hizo timu na wameruhusu hilo jambo litokee kwenye timu zao.Kwa jinsi jambo hili lilivyokwenda viral nilitegemea mabilionea wakiarabu wangempa support dogo kwa kumuambia shikilia msimamo wako usihofie kuhusu kupoteza kazi, sisi tutaku fadhili mamilioni ya pesa kwa kulinda misingi ya dini
bahati mbaya au nzuri ni kuwa asilimia kubwa ya mabilionea wa kiarabu ndio wamiliki wa hizo timu na wameruhusu hilo jambo litokee kwenye timu zao.Kwa jinsi jambo hili lilivyokwenda viral nilitegemea mabilionea wakiarabu wangempa support dogo kwa kumuambia shikilia msimamo wako usihofie kuhusu kupoteza kazi, sisi tutaku fadhili mamilioni ya pesa kwa kulinda misingi ya dini