Pesa ni Shetani; Mchezaji aliyekataa kuvaa jezi ya kuunga ushoga alazimishwa kuchagua kati ya mshahara wa milioni 200 kila wiki ama kurudi Afrika

Kwa jinsi jambo hili lilivyokwenda viral nilitegemea mabilionea wakiarabu wangempa support dogo kwa kumuambia shikilia msimamo wako usihofie kuhusu kupoteza kazi, sisi tutaku fadhili mamilioni ya pesa kwa kulinda misingi ya dini
Waarabu kwani wanamiliki imani gani?
 
Mbona kichwa cha habari na ulichoandika ndani ni tofauti? Mimi nilidhani ameambiwa AVAE HIYO JEZI MTAANI KWA LAZIMA.
 
Kwa jinsi jambo hili lilivyokwenda viral nilitegemea mabilionea wakiarabu wangempa support dogo kwa kumuambia shikilia msimamo wako usihofie kuhusu kupoteza kazi, sisi tutaku fadhili mamilioni ya pesa kwa kulinda misingi ya dini
Huyo dogo ni mpuuzi tu.

Kuna mashekhe walikuja wakatuaminisha kwamba tusivae mashati fulani kwani hayo tukivaa tu tunawapigia promo freemasons.

Tunavaa mpaka kesho na hakuna rate yoyote ya watu kujiunga na freemasons.

sasa huyu jamaa naye sijui anafeli wapi,yeye angevaa tu Mungu sio mpuuzi kama anachukia ushoga Mungu anajua tu.
 
Mhhh , hapo kwenye payroll pagumu sana, najua Magufuli alikuwa na mapungufu mengi kwenye uongozi wake ila huenda ulikuwa ni mpango wa Mungu kutpa rais ambae angekuwa na msimami mkali kuhusu janga la covid, ingekuwa ni rais mwengine tungepigwa lock down
Corona ilikuwa ni mpango wa kuzimu ndio maana aliikataa
 
Kwa jinsi jambo hili lilivyokwenda viral nilitegemea mabilionea wakiarabu wangempa support dogo kwa kumuambia shikilia msimamo wako usihofie kuhusu kupoteza kazi, sisi tutaku fadhili mamilioni ya pesa kwa kulinda misingi ya dini
Hata wao wangefata misingi ya dini zao wasingekuwa mabilionea
 
Ni uongo.

Gueye hii ni mara yake ya pili kukataa kuvaa jezi ya hivyo na hakukatwa mshahara, iweje leo?

Na hata hivyo uhuru inamaanisha siyo lazima kukubaliana nao. So kama haukubaliani nao mtazamo wao ila ukawaheshimu kama binadamu then haina tatizo.
Dunia ina wenyewe bila chapa yao Hakuna kuuza wala kununua
 
Huyo dogo ni mpuuzi tu.

Kuna mashekhe walikuja wakatuaminisha kwamba tusivae mashati fulani kwani hayo tukivaa tu tunawapigia promo freemasons.

Tunavaa mpaka kesho na hakuna rate yoyote ya watu kujiunga na freemasons.

sasa huyu jamaa naye sijui anafeli wapi,yeye angevaa tu Mungu sio mpuuzi kama anachukia ushoga Mungu anajua tu.
Unachokisema kinafikirisha

Mfano saizi hakuna statement yeyote ya dini inayozuia kuvaa nguo ya yellow

Miaka ijayo ikatokea kund la watu wenye maadili mabovu wameamua kutumia rangi ya yellow kama utambulisho wao

Kuanzia hapo automatic kile ambacho kilikuwa kinatambulika kuwa jambo la kawaida na lenye maadili litapewa sura mpya na kuanza kuwa treated kama dhambi

Sasa miaka ya nyuma kabla ya hii raibow symbol kuwa utambulisho wa LBT inamaana waliokuwa wanavaa au kupenda rangi ya raibow tunawaweka kwenye kundi la watu waliokiuka miko ya dini au?
 
Hata wao wangefata misingi ya dini zao wasingekuwa mabilionea
Nazungumzia mabilionea wale wenye wako huko uarabuni wenye kushika dini sana

Kwanini wasitoe support kwa dogo kwa kumtoa wasi wasi kua asiwaze kuhus kupoteza kibarua tutakupa ujira wenye pesa nyingi zaidi ya hapo?
 
Unachokisema kinafikirisha

Mfano saizi hakuna statement yeyote ya dini inayozuia kuvaa nguo ya yellow

Miaka ijayo ikatokea kund la watu wenye maadili mabovu wameamua kutumia rangi ya yellow kama utambulisho wao

Kuanzia hapo automatic kile ambacho kilikuwa kinatambulika kuwa jambo la kawaida na lenye maadili litapewa sura mpya na kuanza kuwa treated kama dhambi

Sasa miaka ya nyuma kabla ya hii raibow symbol kuwa utambulisho wa LBT inamaana waliokuwa wanavaa au kupenda rangi ya raibow tunawaweka kwenye kundi la watu waliokiuka miko ya dini au?
Kabis mkuu.

Ingelikuwa ni jezi nyuma inapicha ya wanaume wan@fir@..n..a ningeona ina make sense kukataa.

Ila hizo just ni rangi tu ambazo hazina maana yoyote ile kiimani.

Ni sawa na mimi leo nikatae kuvaa shati yenye nyota na mwezi ama shati yenye picha ya ng'ombe eti kwa sababu tu huyo ng'ombe kuna watu wanamuabudu na dini hairuhusu kuabudu ng'ombe so nikatae kuvaa jeI yenye picha ya ng'ombe eti kisa nikivaa nitakuwa nasapoti,hii ni kutokuwa na mawazo yaliyotulia tu.

Sioni kama sahihi kukataa kuvaa hizo jezi kwa sababu ya hizo rangi,kwanza kukataa kwake ndio kunazidi kuipaisha hiyo lebo ya ushoga kuliko angekubali.

So kama lengo asisapoti ushoga anajikuta anausapoti zaidi kwa kuupinga kwake kwa sababu dunia yote iko macho na yeye.

Yeye angeliivaa tu na mambo yangeisha kimya kimya tu.

Kuna mambo ukiyakataa ndio unazidi kuyaa nguvu,na ukiyakubali ndio unazidi kuyanyima ngumu.

Ni suala la kufikiri vizuri tu.
 
Nazungumzia mabilionea wale wenye wako huko uarabuni wenye kushika dini sana

Kwanini wasitoe support kwa dogo kwa kumtoa wasi wasi kua asiwaze kuhus kupoteza kibarua tutakupa ujira wenye pesa nyingi zaidi ya hapo?
Kwani wao awaogopi kufutwa kwenye list ya Forbes.Au kushushwa utajiri.Hii Dunia hako na wamiliki wake.
 
Ni ujinga tu,ukiolewa usilale nachupi,kuna waislam kibao nawajua wanapika nguruwe mwanzo mwisho.
Sijawai kuona wanaacha kazi
 
Kwani wao awaogopi kufutwa kwenye list ya Forbes.Au kushushwa utajiri.Hii Dunia hako na wamiliki wake.
Mbona hata hivyo watu wanasema waarabu ndio wanakibunda sana ila ndio hivyo forbes imewa-isolate

Sasa kwa point hiyo si wange msaidia tu dogo kwasababu haiwalunguzii kitu zaidi ya fame tu

Yani wewe ndanj una bilion 10, watu wakisema una laki 2 inaondoa ukweli?
 
Kwa jinsi jambo hili lilivyokwenda viral nilitegemea mabilionea wakiarabu wangempa support dogo kwa kumuambia shikilia msimamo wako usihofie kuhusu kupoteza kazi, sisi tutaku fadhili mamilioni ya pesa kwa kulinda misingi ya dini
bahati mbaya au nzuri ni kuwa asilimia kubwa ya mabilionea wa kiarabu ndio wamiliki wa hizo timu na wameruhusu hilo jambo litokee kwenye timu zao.
 
Back
Top Bottom