Mwanga Mkali
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 1,302
- 2,473
Kuna watu huwa wakiamka wanawaza waje na ushuzi gani kumchafua JPM ukiwaambia haya lete fact unaishia kuoshwa matusi. Unabaki kushangaa tu. Habari ya Seychelles anaweza kuongelea ya yule mbunge wetu wa maparachichi wakati ule kapigwa pini mpaka contrubution zake za social security fund zikamwokoa. Na huko ilikuwa za wababe wasiogusika ndio alitumika ku transact kitu ambacho kwa pin ile hana hata sumni kule.Account ya mke wangu sijui ina kiasi gani benki. britanicca anajua mpaka mafisadi wana trillion 3 tena Seychelles. Serikali tumpe ajira kachoro mbobezi huyu🤣🤣
Na uzuri ni wa chama unachokipenda.Ndiyo mtajane kwa ushahidi muumbuane.Wote wale wale,tofauti yake na hao mnaowapenda,mmoja alijiweka wazi ,wengine wamejificha ila wanawatafuna kimya kimya kwa style ya ukila na kipofu usimshike mkono
Na uzuri ni wa chama unachokipenda.Ndiyo mtajane kwa ushahidi muumbuane.
Anza sasa!Ninyi mnaishi na wezi.Fichueni wezi!Uzuri mkitajiwa mnakimbilia kulia sukuma gang wanamchafua Mama
Sasa kwani si alikuwa na Account na zinajulikana? Kama ni kweli kaiba nini kinakwamisha kusema Magufuli kaiba kiasi hiki na kipo kwenye account hizi na hizi na kuchukua hatua kali maana kama aliiba kuna aliyoiba nao na wako hai na wengine wako serikalini kuna shida gani kuchukua hatua? Hata zile wanazosema zimefichwa china hakuna aliyesema zimefichwa na nani zaidi ya kupoteza muda tuu!Nchi hii kwa mujibu wa katiba yetu mbovu rais ndiye mwamuzi wa chochote na lolote. Jiwe alikuwa mwizi. Period!!
Ukiona kuna ugumu kwenye kitu ujue wahusika waliozichukua bado wako karibu na Rais au taarifa zinazotolewa ni za uongoSasa Serikali Isipate Kigugumizi Ichukue Hatua Irudishe Pesa Kuukwamua Uchumi Wa Tanzania Unajua Wanaotuangusha Ni Viongozi Wetu
Hili Nalo Linahitaji Mpaka Tupate Wajuzi Toka Nje
Awamu ya pili ilikuwa gombania goli,watu walikuwa wanajichoteani vyema tukaanza kukusanya zote kuanzia awamu ya kwanza, ya pili, ya tatu, ya nne, ya tano na hii ya sita pia.
Watanzania tunapaswa kuungana kupigana hii vita na sio kuwa mashabiki wa wanasiasa wa Tanzania ambao wote awamu zoote tabia ni zilezile..
Madame hizo BOT haiwezi zijua maana zinakuwa na umiliki wa wenye AccountZilizoko hapa Tanzania Benki Kuu ina taarifa zake....
Hizo za nje ya nchi sijui.....
Mmesemelea kandege kwenye motoKuna kakikundi kaliko aminisha Umma kwamba ni kasafi Kumbe kameoza sana
Pesa zaidi ya Trilion 3 ziko hapo visiwa jirani.
B
Majizi Yapo Ndugu Zangu Hata CcmKwamba wizi umeisha ? Hawaibi tena ?
We jamaa JF wana Account FB so acha dharau jikite kwenye madaUnapost JF uweke na ushahidi walahu hats wenye mashaka ila uwe ushahidi tu... hapa sio facebook watu wana akili zao Na mipango yao
ZifateKuna kakikundi kaliko aminisha Umma kwamba ni kasafi Kumbe kameoza sana
Pesa zaidi ya Trilion 3 ziko hapo visiwa jirani.
B
Zilizoko hapa Tanzania Benki Kuu ina taarifa zake....
Hizo za nje ya nchi sijui.....
Hii nchi majizi ya fedha za imma ni mengi sana. Tunaumizwa kwenye tozo kumbe fedha zinaishia kwa mafisadi. Hizo fedha zingetosha kabisa kuagiza chakula nje ya nchi kupunguza makali ya njaa inayoinyemelea nchi.Kuna kakikundi kaliko aminisha Umma kwamba ni kasafi Kumbe kameoza sana
Pesa zaidi ya Trilion 3 ziko hapo visiwa jirani.
B