Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
Salah aliweza kuivunja ile rekodi ya goli 31 ya Premier League na kuweka ya kwake ya goli 32 huku akiwa kama winga tena kutoka Afrika, nilitamani hii rekodi ikae kidogo kwa heshima ya Afrika, lakini nadhani muda umefika ukingoni.
Kuna mtu mmoja hatari sana Erling Haalland, huyu jamaa anakuja kuivunja rekodi mapema na kuweka ya kwake ngumu sana ambayo inaweza kukaa muda kidogo kutokana na speed kubwa ya ufungaji aliyonayo kwa sasa.
Kibaya kwake inaweza ikawa jeraha tu na kwa kifupi sitamani apate hilo jeraha ili watu wazidi kuona utofauti wa uwekezaji katika mpira na kujishikiza tu katika mpira.
Kiukweli Halland ni jini na ukibahatika kumkwepa shukuru haswa. Pep nimeanza kuacha kale katabia ka ubishi juu yake na sasa naanza kumpa heshima anayostahili, siyo kwamba sikuwa naona ubora wake ila ubishi tu!
Anayekuja na pointi ya kutumia pesa sana ndiyo apate mafanikio, mwambie pesa haitengenezi mfumo wa uchezaji uwanjani bali ni mbinu za kocha tu. Halafu kingine Pep hajazuia mabosi wenu wasitumie pesa.
🖐🖐